Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huyo Mange ana mental case, ni wa kupuuzwa.She always finds faults with others kasoro kwa Wema.Unajua yule ana matatizo ya akili.Mwache ni wa kumwombea yule kishkwambi mjuaji...sio lazima yeye aupende.yeye ni Pwanya road tu

Hahahaaa, le Panywa road..basi amfanyie Kiba favour. ..afwe for him u know. ..
Kiukweli Mange kanikera sana, sijui huyu bibi ana balaa gani la kupenda attention kiasi hiki! Kila kitu lazima akivalie njuga.Ila nionavyo mimi hii article ya wimbo wa Kiba kaitumia kama silaha ya kujisafisha kwa diamond alivyomponda hapo juzi kati.
 
atajibeba!! kwani who is she by the way!!!! she beta have a life.
 
C ulisema ungeniPM !! Nikasubiri uniPM kimyaa

Ulisubiri dk zero au?
Kabla sijakuPM nilikucheki kwanza kwa kupoint hapo kwenye jina lako nikaona upo offline.....mweeeh nilivyokuwa na hamu na huo wimbo si ikabidi niende twitter bhana, bahati nzuri nikaupata!
 
Hahahaaa, PM # mama...unataka akurushie kwa blue tooth?

Nimeshaipata. Abou alinichomesha mahindi live live bila huruma lol!

Na huku kwetu Makindye wameipenda kinoma, nyimbo imefunga mitaa kila kona ni chekecha cheketua. Wale wenye vibanda/vijiwe vya kuburn cd na kuweka nyimbo kwenye simu.....biashara imewanyookea kweli.
 
Uongo m baya mwimbo mzuri!, nimechekecha na kuchekechua mpaka nikajikuta kwenye hii thread!

#AliKiba
 
Uongo m baya mwimbo mzuri!, nimechekecha na kuchekechua mpaka nikajikuta kwenye hii thread!

#AliKiba

karibu kui wanauponda wakati wanausikiliza balaa, uchawi tu unawasumbua, wimbo mtamu sana huu hata wao wanalijua hilo
 
Last edited by a moderator:
Warioba anusurika kupokea kichapo kutoka kwa Mugabe baada ya kuiponda Cheketua
😱😱😱
 
Back
Top Bottom