Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Attachments
Last edited by a moderator:
You're old enough to know better.
Relaxy......
Eee sijaelewa! Nehiiii
we nawe slow leaner!!!
Kesho ndiyo nitaelewa!
we nawe slow leaner!!!
Wewe binti unajiamini nini kumtaja Invisible bila kibali au naye ni AlliK family nini? Teh!
Angalia asije tokeza hapa watu mkavunjika miguu!
Btw, hope mko poa humu....huu mwezi jamani wengi umetukamata sana hata hatupumui vizuri. Kesho kuna hatari ya kupitwa na cheketua...Ms jitolee basi kuniwatsup huo wimbo! Nina hamu nao usipimeeeee
Wimbo unakaribia kuachiwa clouds fm. Ali kiba yupo live sasa hivi
Wimbo mzuri! Wanga washaanza kupiga filimbi zao, mxiuuuu! Haters wanaruhusiwa pia kusikiliza na kukosoa na wa kujiapiza kunya au kujiua kama NkyaH.
Hahahaaa. ..huyo jamaa uliyem mention hapo sidhani kama atakatiza mitaa hii kabisa.
Wimbo mzuri sana, tena sana.