Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Roho inaona rahaaaa....mpaka udenda unanitoka! Athens hakikisha huu wimbo mpya unaniimbia mpaka niiuelewe
 
Last edited by a moderator:
jamani kuna mtu kanionea Viol?? maana tangu aage kwenda zanzibar kwenye sauti za busara sijamuona tena!!
 
Last edited by a moderator:
Nilikosa mtoto wa kidosi hivihivi enzi za Bombay sasa Mumbai baada ya kushindwa kipengele hiki cha kuimba masong kama Amitha Bachan.

Akakupotezea mazima kisa ujui kuimba !! Uyo ana roho mbaya Matola
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom