safi sana cant wait mie, najua Viol lazima aniimbie mmoja kati ya hizo, huku Athen nae akifanya zoezi la kumuimbia Ms.Lincoln baada ya Matola kushindwa, teh teh
safi sana cant wait mie, najua Viol lazima aniimbie mmoja kati ya hizo, huku Athen nae akifanya zoezi la kumuimbia Ms.Lincoln baada ya Matola kushindwa, teh teh
Angemfikilia tu ,kuimba n kazi ngumu sana
angekuwa na nia angejifunza mpaka aweze wewe!
Miss u too mpenzi,luv u pia
hivi pamoja na hizi gud newz za #mapenzimaghorofa bado nifah sikuoni!!!! hebu ukuje nimekumiss mama
unapotea sana baba nini mbaya???
Nipo mama ila siku hizi niko busy sana zaidi ya sana yenyewe.Ila hua nachungulia humu kila wakati nikiwaona tu napotea zangu.
weee kwenye malavidavi hata kichina unaimba
Natingwa na shughuli acha tu
We uliwahi ?