Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

mmmmh!! hata hicho kibwagizo ndio nimekisikia kwako! teh

We utakuwa wa mashavuni wewe!
Huwezi kaa/kuwa karibu na sehemu kama magomeni, keko, mivinjeni, mbagala alafu usimjue msaga sumu! Dah nifah umenikumbusha mbali kidogo aiseee.....swaga za uswahilini kwetu enzi zile kila penye mnuso kigodoro chake lazima wakeshe na nyimbo za msaga sumu.......yaani nilikuwaga nacheka nikizisikia hizo nyimbo hata ile kero ya makelele ya watu naisahau!! Japo mwanzoni zilikuwaga zinaniboa kinoma!
 
Last edited by a moderator:
Mawazo ya nini?Stress tu mama.
Jana Arsenal imeniumiza sana...but I am ok now.

kumbe wewe mwana arsenal!!! pole sana mama, ndio maana Viol alikuchokoza, hebu sikiliza mke ya dunia ikuburudishe
 
Last edited by a moderator:
Ucku mwema members
 
Attachments

  • 1423412806807.jpg
    1423412806807.jpg
    62.8 KB · Views: 120
Mawazo ya nini?Stress tu mama.
Jana Arsenal imeniumiza sana...but I am ok now.

Usijali kipenzi....ndo game lenyewe hilo.
Mi mwenyewe chama langu kuna kipindi lilikuwa gongwagongwa hadi nikaamua kujibreakisha kwanza mpaka sasa hivi sijui mtiririko upoje!

Wowo wololo.....kwa sound melody ya King!!
 
Bila shaka ni Man U hiyo.
Teh teh teh
 
Back
Top Bottom