Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

kuna post kule bestttttt
nna raha hatariiiii

yaani my dear ndio nimeuona, tuombee kheri tu hiyo project ikamilike kwa baraka maana sipati picha hao wakali wawili wafanye kitu, ukijumlisha na ile sauti ya Kiba! uwiiiii i wont sleep that day, sory my Viol kitanda kitakuhusu mwenyewe
 
Last edited by a moderator:

Viol usijali shemeji....kitanda tutaweka hata mto!
 
Last edited by a moderator:
we nawe wapotea sana aisee!! habari?
Tulikubaliana na nifah nitafute rafiki wa kalamu ili niwe naja mara kwa mara lakini rafiki wa kalamu hajapatikana bado, lol. mimi nipo poa atoto, hofu kwako manake na wewe umeadimika mbaya!
 
Last edited by a moderator:
Tulikubaliana na nifah nitafute rafiki wa kalamu ili niwe naja mara kwa mara lakini rafiki wa kalamu hajapatikana bado, lol. mimi nipo poa atoto, hofu kwako manake na wewe umeadimika mbaya!

mie niadimike humu si nitaumwa kabisa!! mie niko poa, tatizo nawe km konokono we endelea kuzubaa hivyo hivyo shemeji!!
hebu sikiliza wife wa dunia kwanza
 
Last edited by a moderator:
mie niadimike humu si nitaumwa kabisa!! mie niko poa, tatizo nawe km konokono we endelea kuzubaa hivyo hivyo shemeji!!
hebu sikiliza wife wa dunia kwanza
mbona tamathali za semi nyingi! mara shemeji mara wife wa dunia, hebu nifafanulie bwana sie wengine ni bongo lala.
 
Mambo...sijambo! Huonekani, umeisikia hii ngoma kalii..
nimefurahi kwamba upo poa. sionekani ndo vile tena pilika manake sie wengine ukiumwa siku moja tu siku ya pili hata hela ya maandazi itabid ukamwangukie mwenyekiti wa kitongoji.
 
Yaani mjue hata sifahamu nini kinaendelea duniani manake haya maisha haya, yatatutia uchizi muda si mrefu. Ms.Lincoln, hiyo ngoma kali ni ipi? Hebu niwekee link basi mara moja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom