Alikua ajishughulishi na mziki kwa mda
Alikuwa anafanya nini???
Alikua ajishughulishi na mziki kwa mda
hahahaaa i learned from the best
naona leo mmeachiana! teh teh teh
Kabisa wangu. Tulishachoka, kila wimbo mpya ilikuwa ni vigodoro tu, hadi Msaga Sumu naye akaonekana bonge la msanii.
Ova
Alikuwa anafanya nini???
Unataka kuyajua mpaka anayoyafanya nje ya muziki !! Mtafute na umuulize
Kwani alikuwa wapi???ICU au???
Safi sana ulivyo mjibu maana nilikua namuandalia jibu lake 1 tu....bahati yake.
you cant emagine huyu mtu namsikiaga tu humu jf hata cmjui na cjawahi sikiza wimno wake!
Post ya 400 naidedicate kwa Ms.Lincoln
Nyongeza....
Ni mfalme wa kwenye vigodoro.
Mojawapo ya vibwagizo vyake maarufu ni...naipenda Yanga shabiki wa damu...Simba shabiki wa damu.
Hope atoto umeelewa sasa.
Kha!Binadamu tuna taabu jamani!
Tukishinda pm tunasemwa,tukija jukwaani yaleyale....lol
Wenye akili na uhakika wa maisha huwa na kawaida ya kupumzika, inaitwa likizo. Alikuwa amejipa likizo ya miaka mitatu.
Ni kawaida kwa wanamuziki wa ukweli, kwa sababu wanaamini akirudi wakati wowote atakimbiza tu kama kawaida.
Lakini wasanii wa vipaji vya kupepea wakithubutu kujipa likizo kwa kutotoa wimbo mpya hata miezi mitatu tu ndo hawarudi tena.
Ndio maana Kiba anaitwa Mfalme kwa maana ya kwamba yeye ni mtawala kwenye muziki hadi atakapokufa.
Ova
Ni mganga njaa fulani hivi, huwa anaimbia kwa juu ya nyimbo za Taarab zilizorekodiwa na wasani wengine.
Ova
Nyongeza....
Ni mfalme wa kwenye vigodoro.
Mojawapo ya vibwagizo vyake maarufu ni...naipenda Yanga shabiki wa damu...Simba shabiki wa damu.
Hope atoto umeelewa sasa.
umechelewa mama kaiwahi abou
Inaonekana unamckilizaga lol
Uwiiiiii!Pole atoto.Japo mimi sijawahi kwenda kwenye vigodoro lakini namjua.
Kwani hukuangalia ile fiesta ya leaders ile siku?Mbona alikuwepo?