Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

niliangalia ila project ilinifanya nikachelewa kuiangalia so wengi walotumbuiza mwanzo sikuwaona, na show zenyewe nakumbuka moja tu teh teh teh

Hivi ujue unanipa wakati mgumu kukuelewesha hapa na ilhali kuna mtu maalum anayetakiwa afanye hii kazi?
That's yo Viol.Nimjuavyo atakuwekea hadi clips za msaga sumu hapa....
Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Hivi ujue unanipa wakati mgumu kukuelewesha hapa na ilhali kuna mtu maalum anayetakiwa afanye hii kazi?
That's yo Viol.Nimjuavyo atakuwekea hadi clips za msaga sumu hapa....
Teh teh teh

hahaaaaa!!! sitaki hata kumjua, mziki mzuri niupatao kwa king unanitosha mie roho kwatuuuu, alafu umenikumbusha huyo mtu sijui yuko wapi!!
 
Last edited by a moderator:
nifah, umeniacha hoooi....'nampenda kiba shabiki wa daaaamu!'....uwii msaga sumu huyooo
 
Last edited by a moderator:
nipo mpenzi wangu,karibu tuangalie mpira

nilikumiss sana laazizi wangu, how are you?
honey mpira tena!! labda nikusindikize tu mie mpira sio kihivyo, nitakuchosha na maswali bure
 
nilikumiss sana laazizi wangu, how are you?
honey mpira tena!! labda nikusindikize tu mie mpira sio kihivyo, nitakuchosha na maswali bure

aaah mpenzi miss u too,nisindikize basi
 
nifah, umeniacha hoooi....'nampenda kiba shabiki wa daaaamu!'....uwii msaga sumu huyooo

Hahahaaaa msaga sumu ni mfalme wa uswahilini huko kwenye vigodoro....
Umenifurahisha eti nampenda Kiba shabiki wa damu!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaa msaga sumu ni mfalme wa uswahilini huko kwenye vigodoro....
Umenifurahisha eti nampenda Kiba shabiki wa damu!

pole sana jirani,ile thread lenu kule leo naona mambo yenu si mazuri
 
Kumbe unaangalia kisiri siri

hahaaa siangaliagi labda kwa bahati mbaya ila kuna hao vijana kazini kila siku ni kubishana kuhusu mpira so sie wenye masikio twasikia
 
Back
Top Bottom