Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Tulikubaliana na nifah nitafute rafiki wa kalamu ili niwe naja mara kwa mara lakini rafiki wa kalamu hajapatikana bado, lol. mimi nipo poa atoto, hofu kwako manake na wewe umeadimika mbaya!

Hahahahaaa,wewe mzembe basi.Watu wote waliojaa humu umeshindwa kumpata hata mmoja?Labda kama haukudhamiria ukichokua unakisema.
 
Last edited by a moderator:
nimefurahi kwamba upo poa. sionekani ndo vile tena pilika manake sie wengine ukiumwa siku moja tu siku ya pili hata hela ya maandazi itabid ukamwangukie mwenyekiti wa kitongoji.

Hahahahaaaaa...dah
 
Hahahahaaa,wewe mzembe basi.Watu wote waliojaa humu umeshindwa kumpata hata mmoja?Labda kama haukudhamiria ukichokua unakisema.
dhamira iko pale pale sema unatuma maomb ya urafiki wa kalamu unaona kimya sasa hapo unapata hisia kwamba labda rafiki mtarajiwa amekosa stamps kwa ajili ya kurudisha majibu. sasa kudhihirishia kwamba nimedhamiria, sasa nitakuwa naweka na stamp kabisa kwenye bahasha!!!!!!
 
Umewaomba wangapi? Wanatabia mbayaaa
 
Yaani mjue hata sifahamu nini kinaendelea duniani manake haya maisha haya, yatatutia uchizi muda si mrefu. Ms.Lincoln, hiyo ngoma kali ni ipi? Hebu niwekee link basi mara moja.

kitu kinaitwa "wife wa dunia"
hebu nawe urudi duniani!! umejifukia wapi???
 
Last edited by a moderator:
kama anapita hapa nami narudia shame on her
nami naongeza kwa msisitizo shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her! shame on her!lakini atoto usisahau kutusaidia kumwendea huyu nifah na vigoma vya kumsuta.
 
Back
Top Bottom