Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,279
Wewe FALSAFA unaonekana kuwa chokonozi tu, umeshindwa kumwaga sifa zako nyumbani kwenu, ... Diamond special thread... ukaja kuparamia thread ya King AK. Utaonekana mtumwa ndani ya nyumba ya mufalme/mfalme. Hiyo ni trespass, ondoka kwenye hii thread uwaachie wenyewe.
huu ndio mji wa kifalme, usipopita hapa basi umember wako jf una ualakini, nae anataka kuwa mke wa dunia so muacheni asafishe nyota humu