Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,412
- 176,330
Badly!
kha kha kha khaaa!! mtoto muongo wewe! ushinde nae pm alafu bado ummiss!!
Badly!
Salama mkuu. Naona tunapishana tu hapa barazani. Uko poa?!
Ova
uwii ataanzia wapi kwamfano!! yeye mwenyewe analijua hilo, hebu nipe feedbak mke ya dunia inaendeleaje? au bado kimaso maso imekukolea??
Itadakwa ikirushwa
Nipo poa mkuu
Naburudika na ngoma za king tu uku tukipishana
Hahahaaaa ndio maana nakukimbia ujue?Honestly... bado mwaya ila nitajitahidi next time nitatiririka tu tena bila hata ya kuulizwa!
wacha we!!! itakuwa salama kweli ikidakwa! inaweza ikaponyoka
Kama dawa, ukiwa shabiki wa muziki mzuri ni lazima ukae kwa King Kiba. Ndio maana watu walikuwa wanadai tu arudi coz tulikuwa tunakosa muziki mzuri.
Ova
Kama dawa, ukiwa shabiki wa muziki mzuri ni lazima ukae kwa King Kiba. Ndio maana watu walikuwa wanadai tu arudi coz tulikuwa tunakosa muziki mzuri.
Ova
tulichoka kusikiliza kelele aisee, hapana chezea king kwakweli
Sana mkuu
Na jinc king alivyokua fundi
Shida tu mitaani
Kabisa wangu. Tulishachoka, kila wimbo mpya ilikuwa ni vigodoro tu, hadi Msaga Sumu naye akaonekana bonge la msanii.
Ova
fundi karudi vibarua wote wanahaha
Sana mkuu
Na jinc king alivyokua fundi
Shida tu mitaani
fundi karudi vibarua wote wanahaha
King Kiba kanyamazisha kelele zote. Kulikuwa na fujo fujo tu za waimba vigodoro.
Ova
Kwani alikuwa wapi???ICU au???