Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ni kweli kwamba ni kazi rahisi sana kumjua mjinga, kwa sababu hataacha kufanya ujinga wake mbele ya wenye akili.
Mpwa geniveros tumefundishwa kuwavumilia wajinga na ujinga wao coz wanatupa nafasi ya kuonesha kuwa sisi ni wenye akili.
Kwa hiyo mpwa vumilia tu.
Ova

hi Mdakuzi, mwapeana zamu? where is my nifah? tell her i miss her na ahakikishe akirudi hapa anaimba wife wa dunia wote.
 
Last edited by a moderator:
Wewe mwanamke unataka nipewe talaka?

uwii ataanzia wapi kwamfano!! yeye mwenyewe analijua hilo, hebu nipe feedbak mke ya dunia inaendeleaje? au bado kimaso maso imekukolea??
 
Back
Top Bottom