Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

DIAMONDS ARE SHINE IN THE INDUSTRY MUSIC IN THE WORLD AGREE OR NOT IN TANZANIA COUNTRY.teamwasafi,teamdmond,teamplatinumz,teamchibu,teamdiamond,teamdangote,teamzarimond.DIAMOND PLATNUMZ THE NEW BIG BOSS.

Unatia huruma sana
 
ata mi sielewi kweli alikiba msanii.mtaumia roho na chuki binafsi. NI MWENDO WA VIPARA.

Wewe FALSAFA unaonekana kuwa chokonozi tu, umeshindwa kumwaga sifa zako nyumbani kwenu, ... Diamond special thread... ukaja kuparamia thread ya King AK. Utaonekana mtumwa ndani ya nyumba ya mufalme/mfalme. Hiyo ni trespass, ondoka kwenye hii thread uwaachie wenyewe.
 
DIAMOND PLATINUMZ changes the artists in tanganyika-zanzibar,one of them ali kiba kutoa kampuni moja na DIAMOND PLATINUMZ ya GODFATHER.kwani ali kiba hakuiona kampuni nyengne ambao inayofanya vizuri uko sauz-afrika kuipita ya GODFATHER while akijua kwamba WCB THE TEAM na yeye hawapatani? nanyi teamkiba hamulioni hilo? DIAMOND PLATINUMZ anaweza na anakubalika KIMATAIFA.

Hata Saida Kaloli alivuma kwa wakati wake, what counts is to remain.
 
hhhhhaaayyyyaaa tumekusikia
tupe id yako ya zamani bassss
hii mpya nakuona km hujiamini vile!

kama Huna La Kureply Kapike Maharage. alikiba Akapike Ugali. DIAMONDS ARE FOREVER.

Umeulizwa swali umeanza kujiuma uma hapa. Watu wenye ID's nyingi tunajua tabia zenu mkifika kwenye thread hii huwa mnajitoa akili kabisa kwa ID's zenu za akiba.
Mpwa geniveros naomba nimsaidie kujibu huyu jamaa, ID's zake nyingine ni falsafa hai, mwanafalsafa1, jingalafalsafa, mwanafalsafa na hiyo Falsafa anayotumia kufanyia ubishi hapa.
Ova
 
Last edited by a moderator:

thats Mdakuzi, i see yo back missed u big
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom