Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

atoto aaah mi nipo opposite nawe... ZariMond!! i like hii couple Lol! Dai anajua ishi ki super star even his songs ziko vizuri acheza vizuri na minds zetu.

haya safari njema mama. wasalimie
 
Last edited by a moderator:
Teh Teh Ngoja niondoe maneno yangu japo huo mlango haujawekwa wazi kama ni wa Leaders au back stage....

Uknw nafuta maneno yangu mpaka hapo ushahidi wa kuruka ukuta utakapo letwa.

U seee...
Nilikwambia wewe haujahabarika vya kutosha na unachokifanya unadakia vitamko tamko tu visivyokuwa na mashiko.
Sasa nakupa homework, ni kwamba Kiba aliingilia getini kama kawa ila kuna sehemu kule mbele ilibidi aruke ukuta....malizia mwenyewe why??? ( bt weka pembeni hilo la kishirikina)
 
Teh Teh we binti wewe...
 
Back
Top Bottom