Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Huu uzi wetu jamani mbona kimya? tutakuwa tunamwangusha mfalme ambae wengine tumeapa kumtetea kwa udi na uvumba.najuwa hivi sasa yupo kimya lakini matumain yangu ni kwamba kimya kikuu kina mshindo nasubiria kwa hamu scuds atakayoishusha tena na kusambaratisha kabisa watu wa mtaa wa saba.
 
Hahahaaaa sisi mbona tupo?Wewe ndiye ambaye huonekani.
 
mwambie awe anasema "msikilize king kiba" na sio jina lake la utotoni kabla hajatawazwa.

Teh teh teh...nitamkumbusha next time akija tena.
King lazima apewe heshma yake bwana.
 
Hahahaaaa sisi mbona tupo?Wewe ndiye ambaye huonekani.
ni kweli kabisa miss nifah, sie wengine ujaji wetu humu ni wa kuvizia lakini tunaamini nyie wenye uwezo wa kuingia mara ka mara mtatuwakilisha vyema. pilika wangu, si unajua tena?
 
Teh teh teh...nitamkumbusha next time akija tena.
King lazima apewe heshma yake bwana.
nashangaa, yaani mtu bila aibu anamuita alikiba badala ya kumpa heshima yake. mtu anaamua kutangaza blog yake bila ku pay respect kwa muhusika. usidhani kwamba huyo ni mtu wetu bali ni mtangaza blog yake kupitia wakali wa mjini.
 
Huu uzi wetu jamani mbona kimya? tutakuwa tunamwangusha mfalme ambae wengine tumeapa kumtetea kwa udi na uvumba.najuwa hivi sasa yupo kimya lakini matumain yangu ni kwamba kimya kikuu kina mshindo nasubiria kwa hamu scuds atakayoishusha tena na kusambaratisha kabisa watu wa mtaa wa saba.

tumeshtuka ..tunanenepesha shetani tu.
 
ni kweli kabisa miss nifah, sie wengine ujaji wetu humu ni wa kuvizia lakini tunaamini nyie wenye uwezo wa kuingia mara ka mara mtatuwakilisha vyema. pilika wangu, si unajua tena?

Najua vizuri Athen...
Ngoja sisi majobless tuendelee kuwapaisha vyema zaidi...lol
 
Last edited by a moderator:
nashangaa, yaani mtu bila aibu anamuita alikiba badala ya kumpa heshima yake. mtu anaamua kutangaza blog yake bila ku pay respect kwa muhusika. usidhani kwamba huyo ni mtu wetu bali ni mtangaza blog yake kupitia wakali wa mjini.

Nilitaka kumuambia hili kua anataka tu kuitangaza blog yake lakini nikaona sio busara as long as kaleta habari ya King Kiba...
Pia nimewahi kumuona hapa mara moja nadhani ni mwenzetu pia.

Hahahahaaa respect lazima ipewe kipaumbele bwana.
 
Najua vizuri Athen...
Ngoja sisi majobless tuendelee kuwapaisha vyema zaidi...lol
kwiii! kwiii! kwiii! eti majobless. majobless ni akina sie ambae hata bundle ya kutufanya tuwe tunaingia mara kwa mara tunakosa. sio mbaya lakini, itabidi nitafute rafiki wa kalamu humu humu jf ili anifanye niwe naja mara kwa mara. nifah unafahamu rafiki wa kalamu? au ni kizazi cha dot.domo!
 
Hahahahaaa wewe Athen bwana!
Najua vizuri.Si urafiki wa kuandikiana barua au nimekosea?

Kweli itabidi utafute rafiki maana atakufanya uipende JF zaidi ya sasa...lol
 
Last edited by a moderator:
Nilitaka kumuambia hili kua anataka tu kuitangaza blog yake lakini nikaona sio busara as long as kaleta habari ya King Kiba...
Pia nimewahi kumuona hapa mara moja nadhani ni mwenzetu pia.

Hahahahaaa respect lazima ipewe kipaumbele bwana.
kwa mfalme kitu cha kwanza ni respect mambo mengine yote baadae. hata ukioza binti yako mrembo kwa mfalme, usitarajie eti wewe ndo upewe heshima ya mkwe na mfalme bali ni wewe ndie unatakiwa kutoa heshima hata kama umempa binti yako mpendwa. narudia, heshima kwanza, mambo mengine baadae. hata wewe usipompa heshima yake nitakuchana live bila chenga.
 
Hahahahaaa wewe Athen bwana!
Najua vizuri.Si urafiki wa kuandikiana barua au nimekosea?

Kweli itabidi utafute rafiki maana atakufanya uipende JF zaidi ya sasa...lol
yap! yap! ni urafiki wa kuandikiana barua. umepatia mwanafunzi.
 
kwa mfalme kitu cha kwanza ni respect mambo mengine yote baadae. hata ukioza binti yako mrembo kwa mfalme, usitarajie eti wewe ndo upewe heshima ya mkwe na mfalme bali ni wewe ndie unatakiwa kutoa heshima hata kama umempa binti yako mpendwa. narudia, heshima kwanza, mambo mengine baadae. hata wewe usipompa heshima yake nitakuchana live bila chenga.

Dah!Huo mfano ni hatariii aisee.Kweli heshima haijalishi wewe ni nani bali anayepewa heshima.
King lazima nimpe heshma yake maana ni stahiki yake...hata nikurupuke usingizini nikaona chochote kinachomhusu lazima niseme "wow...that's King Kiba".
 
"marhaaba!" ukisikia hivyo juwa umempatia vilivyo mtu wa mwambao. si unajua tena akina sie tunavyojifanya ma'arabu wakati ni weusi tiii kama mbegu za tikiti la asili.
 
Asante mwaaalimu!
Hahahahaaa nimekumbuka primary lazima uvute kwanza sio kusema mwalimu tu.
kkwi kwiii kwiiii! leo nakusamehe lakini siku nyingine sema "Ahsante Maalim!" na sio mwalimu! rejea post yangu #7628 lol!
 
"marhaaba!" ukisikia hivyo juwa umempatia vilivyo mtu wa mwambao. si unajua tena akina sie tunavyojifanya ma'arabu wakati ni weusi tiii kama mbegu za tikiti la asili.

Hahahahaaaa dah....
Nimekupata sawia.Mimi nilidhani wewe mtu wa mara ujue.
 
Back
Top Bottom