Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

Hahahaaa! Asante sana geniveros wajua nimekuwa tight mno tangu jana, ila nikaona itakuwa dhambi kama sitaungana nanyi hapa Leo.
Uko poa mpwa?!
Ova

doing great nlikumis tu
majukumu pole yako nimeblow na mjengo wa ALY
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mpwa, wajua hata mimi huwa nawamiss sana. Nimewazoea mno ndugu zangu.
Nimesikia mganga wa Nassib yule Khalid Tege wa Mburahati Mianzini aliongozana naye hadi kwenye show ya Kiboko Yao.
Walichinja mbuzi njia panda ya Mburahati na Morogoro Road lakini haikutosha, mganga hadi kaingizwa ukumbini.
Ajabu Khalid Tege kaingia na watu wake hadi back stage, ilibidi tu Kiba apewe ulinzi baada ya kutoa taarifa kwa waandaaji.
Wajua mtu anayeamua kukuroga hadharani ujue ameshakuroga sana sirini akashindwa.
Nimesikitika sana kusema kweli baada ya kupewa taarifa hizi muda mfupi uliopita.

dah nimeona ig nimesikitika sana ujue tena yaani sijataka kuamini ila na uthibitisho umewekwa nimewadharau kwa kweli
 
Kuna mtu wangu mmoja anaishi huko Mburahati Mianzini, nataka anifanyie kazi moja ya kupata picha ya huyu dogo akiingia au kutoka kwa Khalid Tege.
Ni vizuri kumfichua. Muziki gani hasa wa kuufanya namna hii? Unaroga ukiwa kwenu huko na bado unaenda na mganga ukumbini ili akamroge anayekushinda.
Nilidhani kwa kupata nafasi ya kufika Ulaya ingemsaidia kuachana na haya mambo ya kijinga jinga ya uswahilini lakini kumbe nilijidanganya.
Inasikitisha sana mpwa.

itakua bora kweli natamani hasa
 
HAHAHAHA akili ya mswahili bwana, akishindwa pambano anaanza kumtafuta mchawi
 
Hana jipya lakini kutwa kucha migulubaja yako haikauki huku, atleast ungeona haya dogo!Na Kiba mwaka huu atawajambisha sana na hiyo misuli yenu ya urithi!

Hivi jana hakukodisha wale masela wa kariakoo
 
HAHAHAHA akili ya mswahili bwana, akishindwa pambano anaanza kumtafuta mchawi

Arogwe kwa kipi alichomzidi....maana ally anachomzidi dai ni idadi ya watoto na kujua kuchza mpira
 
ImageUploadedByJamiiForums1422224600.646539.jpg
Huyu hapa King Kiba anaingia kwa kupita mlangoni, lakini vichwa maji na wenye akili finyu wakazusha kwamba karuka ukuta.
Ukweli huwa na kawaida ya kubaki kuwa ukweli tu, hata kama utatungwa uongo wa namna gani.
Ova
 
dah nimeona ig nimesikitika sana ujue tena yaani sijataka kuamini ila na uthibitisho umewekwa nimewadharau kwa kweli

jamani mm haya mambo huwa siyaamini na nikahisi huwa anasingiziwa ila kwa hili!!! am very dissapointed in him!!! alafu wanahahaaa kumtafutia Kiba ubaya!!! hii mitandao safi sana siku hz hakuna kutudanganya tena!!
 
Kuna mtu wangu mmoja anaishi huko Mburahati Mianzini, nataka anifanyie kazi moja ya kupata picha ya huyu dogo akiingia au kutoka kwa Khalid Tege.
Ni vizuri kumfichua. Muziki gani hasa wa kuufanya namna hii? Unaroga ukiwa kwenu huko na bado unaenda na mganga ukumbini ili akamroge anayekushinda.
Nilidhani kwa kupata nafasi ya kufika Ulaya ingemsaidia kuachana na haya mambo ya kijinga jinga ya uswahilini lakini kumbe nilijidanganya.
Inasikitisha sana mpwa.
Ova

asili ya maji ni ubaridi Mdakuzi hata yachemke vpi yatapoa tu!! na kamwe jasiri haachi asili, hv u forgoten that unaweza mtoa nyani porini ila kamwe huwezi utoa upori ndani yake!!!

tooo bad kwakweli
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom