Leak
Platinum Member
- Feb 22, 2012
- 52,939
- 43,569
alafu wanajichetua hapa eti hana jipya wakati anawahenyesha balaa, duuuh!!! hii dunia wonders never seize kwakweli
Teh Teh mtani show inayo fuata inaweza kuwa kanda ya ziwa! happy monday
alafu wanajichetua hapa eti hana jipya wakati anawahenyesha balaa, duuuh!!! hii dunia wonders never seize kwakweli
Wakapige chafya mbele......
Na ya kukataa kusalimia watu ni uongo?
Chupa mtupige nyie,
Kutuzomea nyie,
hela mpewe nyie,
ukuta mruke nyie,
salamu mfinye nyie,
matusi ya ugumba mtoe nyie,
u KING mjipe nyie..
Video kali mtoe nyie..
Tuzo mchukue nyie..
Nigeria mtuwakilishe nyie.
Ulaya mmewakilisha nyie..
Afrima nyie..
BET nyie.
... HAYA YOTE HAYO TUNAWAACHIA, MMESHINDA.
MTUACHE NA DIAMOND BASI. TUACHE MBINGU NA NCHI ZISHUHUDIE UKWELI.
Chupa mtupige nyie,
Kutuzomea nyie,
hela mpewe nyie,
ukuta mruke nyie,
salamu mfinye nyie,
matusi ya ugumba mtoe nyie,
u KING mjipe nyie..
Video kali mtoe nyie..
Tuzo mchukue nyie..
Nigeria mtuwakilishe nyie.
Ulaya mmewakilisha nyie..
Afrima nyie..
BET nyie.
... HAYA YOTE HAYO TUNAWAACHIA, MMESHINDA.
MTUACHE NA DIAMOND BASI. TUACHE MBINGU NA NCHI ZISHUHUDIE UKWELI.
Kiba nouma
Una maanisha cc wote tulirusha chupa ?
Mbona kiba juzi alitupiwa chupa akuna aliepaniki jamaa akatumia kipaji chake mpka watoto Wa Tandale wakaacha kufanya buuuuuuh
Hela aliwapa wajela jela wanzake Wa manzese na Tandale
Kiba kapita getini anataka kuingia zake back stage mijitu imecmama mlangoni inamtumbulia macho aitaki kupisha ulitaka afanyaje Awaombe?
Mbona FA kasalimiana nae then alikua yupo place ya peke ake ulitaka awatafute akina shilole akawape mikono ? Acha ujuha we bati bovu think out f box
Wanao muita dai mgumba n team kiba au team wema ?
He is king na wote wanajua autaki ama nchi kaombe uraia Congo
Vipi bado unaendelea kudance mwana !!
Kama kuwakirisha mbona kiba alishafanya na anaendelea kufanya na izo afrimma na bet dai c Wa kwanza kuchukua wala kua nominated
Na ukweli utaushudia tu
King next show Kenya & Znz sauti za busara then atarud Mtwara akitoka apo anaenda kupanda stage moja na Queen Minaj
Inyake hii na uwasimulie wenzako uko
Ally Kiba ni KING., TUMEKUBALI.
UNA LA KUONGEZA?,?
Teh Teh mtani show inayo fuata inaweza kuwa kanda ya ziwa! happy monday
utumbo mtupuuu
kama kidogo sasa!!! cjui kaibukia wapi huyu nae, atupishe huko na kiherehere kama mke wa balozi
so what!!!!
Sawa tu mke wa KING..! UMEMALIZA?
TUMA SALAM
ok mke mwenza, msalimie mume wetu.
teh teh teh!! mwee mtani kule hakutakuwa na ukuta wa kuruka so hautakuwa na cha kumsingizia!! happy to u too.
teh teh teh!! mwee mtani kule hakutakuwa na ukuta wa kuruka so hautakuwa na cha kumsingizia!! happy to u too.
Teh Teh mtani huko kanda ya ziwa kuna ziwa victoria ambako atakwenda kupasua yai katikati ya ziwa
Teh Teh anaweza kwenda katikati ya ziwa victoria akapasua yai...
Uwiiiiiiiii,sikutegemea hili jibu!
Umemaliza mchezo mama.