Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,411
- 82,338
kkwi kwiii kwiiii! leo nakusamehe lakini siku nyingine sema "Ahsante Maalim!" na sio mwalimu! rejea post yangu #7628 lol!
Teh teh .....mimi nilikua namaanisha mwalimu wa kwenye i'lm dunia.
Kumbe wewe ni Maalim eeh?
Umenikumbusha Maalim wangu wa i'lm akhera alikua anaitwa Maalim Hassan...
Anyways.... "Ahsante Maalim......"