kilimanjaro1
Member
- Dec 15, 2011
- 13
- 6
Kiba amesha ishiwa.... Tuwe wakweli tu cz njia alizopita yeye na support aliyonayo, hakutakwa kuwa mbaaaali sna Leo hii lakin hadi hivi sasa hana jipya kabisaaa imabaki sauti tu lakin hakuna jipya!
Mdakuzi nimefatilia mnachosema,du!what a shame!Hizo caption zote muwe mnatupia hapa kwa ajili ya sie wa techno!
achana nae my dear mwache ajifariji, sasa km wanajua hana jipya kinachowawewesesha ni nini si watulize misuli!!! ebo!!
Watulize steki hzo....sindano isije wakatikia buree.
wanahangaika hao hatari, sasa mtu hana jipya wakati anawapagawisha balaaa, kuuuuutwa ni yeye tu wanamtaja kwani hawajawaona hao wenye jipya???!!! watupishe huko
Ha ha ha waache wafagie uwanja King apite.......mvaa visketi kakimbizwa ile mbaya
wanajifariji tu ila wanajua King ni moto wa kuotea mbali, kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa ndio kosa!! people learn from their mistakes, so wamuache Kiba afanye yake kuongelea mambo ambayo yamepitwa na wakati kwa nuda huu ambao mtu anawachachafya ni kujifariji tu, km ni ukweli na ushauri tushampa sana King, hapa kilichobaki ni shangwe tu na kuendelea kutoa ushauri pale inapobidi, sasa watu wanakurupuka tu wanabwatuuuka bila msingi.
karibuni tu mzidi kumpa hasira za kufanya mambo makubwa zaidi ili mpagawe zaidi.
View attachment 221561View attachment 221562
Kwa hiyo ilibidi avae nguo ya kike ili kulazimisha shangwe?! Alihangaika sana kiukweli. Lakini mbona dini yake inakataza kuvaa kike?
Yaani Kiba anafanya hadi watu wanamkufuru Mungu!
Ova
Acha king awe king tu
Gnyt all
Na yule ndio his girlfriend
Na mm I need yah sarute lol😎😎😎
Hahahaaaaa sidhani kama atarudi tena aiseee
weee wana roho ngumu kama paka hao watarudi tu, kwa king tena!! wataenda wapi sasa!!!
Acha tu.Nimeamini wana roho ngumu kweli jana maana ni uwendawazimu kusherehekea msanii wenu kufanya ushirikina na kumwaga pesa ili amkalishe King Kiba.
Yako wapi?
Yaani wewe?...basi tu.
The same to you Le Super Lawyer.