jamani nifah kuna ule wimbo wa abby skills ameshirikishwa kiba na sheta, jamani napenda kipande cha chorus cha kiba balaa, yaani hapo tu kwingine wala cjui wanaimbaga nn, i wish ningetengeneza vipande alivyoimba kiba tu!!! jamani kiba ni noma
jamani nifah kuna ule wimbo wa abby skills ameshirikishwa kiba na sheta, jamani napenda kipande cha cherus cha kiba balaa, yaani hapo tu kwingine wala cjui wanaimbaga nn, i wish ningetengeneza vipande alivyoimba kiba tu!!! jamani kiba ni noma