Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,349
- 176,148
maji kilimanjaro ya moto
okey chukua makubwa hapo kwa mangi nakuja kulipa maana umenifurahisha sana.
maji kilimanjaro ya moto
Nakuambia...walinzi tusio na mshahara!...lol
okey chukua makubwa hapo kwa mangi nakuja kulipa maana umenifurahisha sana.
Haha haaaa,umenikumbusha kuna mtu anayapenda hayo maji hatariiii.
alafu wanaoona tunafanya ujinga ndio tunashinda nao humu, sasa cjui wao timamu humu wanafuata nn mpaka na muda wa kucoment wanao!!!! duuuh kaazi kwelikweli

weee tunalipwa sana mana burudani tunayoipata kwa king ni balaa, stress free zone u know, machungu yote tunapunguzia humu
yaani mimi ndio kilevi changu, maji mengine huwa naona hayana ladha kabisaa(mweee cjui maji yana ladha!!!) haya maji matamu aisee,
ucjali tangazo nimelipia
Shoga nimeogopa hatariii baada ya kumuona Sangoma kwenye notifications nikadhani tumekwisha kumbe ni member mwenzetu wa Kiba fans lovely family!
Achana nao stress za maisha zinawasumbua hao.
Kiba you rock dude keep it up!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
![]()
Umemuona shoga yako Paula kilaki maneno aliyoyazungumza kule. Eti vimalaya vya Alikiba tupo na identity zetu humu.....hahahaaaaa!! nilishangaa sana walomtetea siku ile eti kaitwa voda fasta!!
No Mi mwana style imenishinda nicje ng'oa visgino
Umemuona shoga yako Paula kilaki maneno aliyoyazungumza kule. Eti vimalaya vya Alikiba tupo na identity zetu humu.....hahahaaaaa!! nilishangaa sana walomtetea siku ile eti kaitwa voda fasta!!
Wapi uko