Ali Kiba Fans' Special Thread...

Ali Kiba Fans' Special Thread...

hahahaaaa!!! sio utata bwana, she was a dancer na ndio kazi ilompelekaga huko walikwenda na band km ckosei



mmmhh!! kwani ndio kazi anofanya????
mie now najua ni mjasiriamali she has a blog n a botique

Jasir aachi asil
 
Haha haaaa,itafahamika tu,tuvute muda.
Penzi halifichiki bwana,amesahau yangu na Mdakuzi?yako wapi?
Heheheeeee

hahaaaaa!!! yaani nikikumbuka nacheka kweli maana kila atakachoongea Mdakuzi nifah anacheka tu na kulike n viceversa kumbe kuna le project linaendelea jamani!!!
kiba katuunganisha jamani ni mwendo wa maproject tu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom