Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,697
- 12,431
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi.
Ali Kamwe amesema,
"Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY ๐๐ข๐ญ๐๐๐ฅ๐๐ฆ๐ฎ ๐๐๐ข๐๐ข .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni, usoni .. Wadada wa Yanga Rangi za kucha Jumamosi ni Njano na Kijani"
"Bilionea GSM ameandaa zawadi Maalum kwa Mwananchi atakayetokeleza ๐๐ข๐ญ๐๐๐ฅ๐๐ฆ๐ฎ ๐๐๐ข๐๐ข kwenye PACOME DAY.. Utapigwa picha na Wananchi watapiga Kura kuchagua mshindi"-Ali Kamwe
Nini maoni yako?
โ๏ธ Mjanja M1