Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

SEMA WEWE UNAMUUNGA MKONO SIYO WAISLAMU WOTE. KUUNGA MKONO NI HAKI YAKO LAKINI WEWE SI MSEMAJI WA WAISLAM WOTE

Wewe yuko sahihi, wewe ndio unaandika utopolo. Iko hivi we Mataga >> WAISLAM WOTE TUNAMUUNGA MKONO SHEIKH PONDA NA LISSU. INSHALLAH LISSU ATASHINDA URAIS NA MASHEIKH WETU NA WAISLAM KWA UJUMLA WATANUSURIKA NA UDHALIMU WANAOFANYIWA SASA NA JIWE NA WATU WAKE.
 
TUNDU LISSU UJIO WAKO UMETUOKOA SANA WATANZANIA, SIPATI PICHA JIWE ANGETUNYANYASAJE UCHAGUZI HUU!
INGEBIDI TUNDAMBAE NA BM TU!!

UBARIKIWE SANA TL NA UZAO WAKO WOTE. NA UJIANDAE KWA URAIS WA TANZANIA TU SASA.
 
Wewe utakuwa mpumbv mwenzao ukishaweka mambo ya dini kwenye siasa ndani ya nchi yenye dini tofauti tegemea machafuko. Facts.
 
Mi nikijana wa Kiislam nina umri wa miaka 32, Sijawahi kupiga kura hata mara moja na niliapa sitokaa nipige kura.
Sheikh Issa Ponda ndio Sheikh wangu baada ya kufariki Sheikh Ilunga (Allah amrehemu).
Kutokana na Sheikh Ponda kutaka Waislamu wote tumpigie kura Tundu Lissu basi kwakua yeye ndio Sheikh wangu basi kwa Mara ya kwanza mwaka huu nitapnga mstari kupiga kura tena nitampigia Tundu Lissu.
 
Mimi ni nani katka chama? Nape yupozake huko anabangua korosho, mwigulu anakamua zake alizeti.... Hahaha alisikika mfia maji mmoja
 
Clip ya shehe inazunguka kwenye maguroup ya waislamu balaa toka jana usiku ..

Kuna group moja nimo la shule ya kiislamu hii clip imerushwa watu wote na walimu wame react very postive.......

Aisee yaani ni kwamba CCM haina chake kwenye uchaguzi huu.

Jana baada swala waislam tuliijadili clip ya Sheikh wa Dar na hii ya Sheikh Ponda.Baada ya majadiliano marefu Waislam wote kwa kauli moja tulikubaliana na hoja ya Sheikh Ponda.
 
waislam gani hao unaowaongelea?
Ni lini waislam wa Tanzania waliwahi kufuata maelekezo ya Ponda?acheni kujidanganya Ponda ni mpiga debe tu kama yule askofu wa kagera
Enzi za upinzania wa kweli kulikwa na sheikhe anaitwa Kassim Mtopea,huyo alijipambanua dhahiri kabisa na kuambatana na mrema kila sehemu,lakini hakufua dafu
Tundu lissu na waislamu wapi na wapi
 
Tuendelee ama tusiendelee,alisikika polepole kwenye jukwaa hahhahaaahaaaahaha
 
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.

Wewe upo group la KKKT bwashee,tunakujua ni msharika wa Kijitonyama.
 
Tulia wewe, Polepole na Bashiru wanaendesha kampeni za kisayansi, kabla ya kuanza kampeni walikuwa na ushindi wa zaidi ya 70%, sasa hivi wana wanachama milioni 17 na kila mwanachama ameambiwa akatafute watu watatu wa kuipigia kura CCM, inamaana Chama kinaungwa mkono na watu milioni 51, idadi ambayo ni kubwa kuliko hata wapiga kura waliojiandikisha.
 
Kila mtu ashinde mechi zake.
MaCCM mjifunze kuvumiliana, mbona Sisi wana CHADEMA tunawavumilia na mateso yote mnayo tupatia.
 
Mkuu sitaki kuwa msemaji as chadema katika hili ..lakin ninauhakika hawawezi kukosa kitu kama hicho na lazima kitakuwa kwa siri mahali fulani kwani uchaguzi ukipoita sote tunakunbuka nini kiliwapata

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…