Alhaji Sheikh Ponda: Game Changer kwa kura za Waislamu

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,899
2,000
tatizo mnapost vitu bila kufanya utafiti
sheikh ponda na sheikh Rajabu katimba kwa sasa katika uislam awana jpya
waislam hivi sasa wanatumia taranta tofauti kakika harakati za kiislam
wao masheikh wenu wawili ponda na katimba ni masheikh dili (mission town
waislam hivi sasa na ponda ni kama bange na polisi
ponda alikuwa mwembechai baadae mtambani kisha harakati zikaamia tungi temeke
baada ya ponda waislam kumpigania kwa hali na mali alivyokuwa jela siku ya kuachiwa huru pale morogoro siku hiyo hiyo akawaacha waislam kwenye mataa akaungana na chadema pale morogoro na kupanda magari ya chadema
waislam nao wakamzalau pale pale na ponda kuonekana kachagua siasa badala ya DINI
uwenda ulikuwa haujui sasa nakujulisha leo ponda yule katika harakati za kislam mbaka ponda huyu msaka tonge katika majukwaa ya siasa
nenda msikiti wa Mtambani useme haya kama hutararuriwa
 
Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
18,922
2,000
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami... Sheh Ponda ana command kubwa kwa waislamu kuliko BAKWATA....

CCM tushafanya a big mistake kwa kweli....

Suala la pili ni Lisu kumaliza kampeni Dar es Salaam. Wakati Mgombea wetu tarehe hiyo 27 atakuwa mapumnziko Chamwino... Yaani Lisu kumaliza mziki Dar is another disaster... Itakuwa ni funga kazi na atakomba kura zote Mlm 3 za Dar..

NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake.

Kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani tokea tupate uhuru anaandaliwa speech mbili. Ya kushukuru kwa ushindi na at the same time anandaa speech ya kukubali kushindwa... You have really put us in a mess You two people... Tukivuka hili, basi mjiandae kabisa na mfunge kabisa mabegi yenu. Hatuwezi kukubali kuingia na nyie tena katika uchaguzi wa 2022 na 2025.... Kama TUKISHINDA ingawa sioni dalili
Dah ni wewe au kuna mtu anatumia akaunti yako. Ila umeongea ukweli uliopo wenzako watabeza, kumuacha mtu kama January ni kosa mtu kama Nape ni kosa labda kama wamepanga kuwatumia mwishoni kuiba kura kitu ambacho ni ngumu sana safari hii.

Uchaguzi 2020 - Kampeni za CCM mwaka huu zimepwaya sana, kapumzika tena?
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
5,187
2,000
Kampeni awamu hii pumzi kwisha kila wiki mapumziko, hakuna tena push-ups mamamae.... Dr Kisenge kasema asilaumiwe kwa kuzorota kwa afya ya bwana yuleee!
 
kurlzawa

JF-Expert Member
Jan 23, 2018
11,793
2,000
tatizo mnapost vitu bila kufanya utafiti
sheikh ponda na sheikh Rajabu katimba kwa sasa katika uislam awana jpya
waislam hivi sasa wanatumia taranta tofauti kakika harakati za kiislam
wao masheikh wenu wawili ponda na katimba ni masheikh dili (mission town
waislam hivi sasa na ponda ni kama bange na polisi
ponda alikuwa mwembechai baadae mtambani kisha harakati zikaamia tungi temeke
baada ya ponda waislam kumpigania kwa hali na mali alivyokuwa jela siku ya kuachiwa huru pale morogoro siku hiyo hiyo akawaacha waislam kwenye mataa akaungana na chadema pale morogoro na kupanda magari ya chadema
waislam nao wakamzalau pale pale na ponda kuonekana kachagua siasa badala ya DINI
uwenda ulikuwa haujui sasa nakujulisha leo ponda yule katika harakati za kislam mbaka ponda huyu msaka tonge katika majukwaa ya siasa
CHADEMA haina cha kumpa ponda bro acha uongo.
 
stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
22,192
2,000
Clip ya shehe inazunguka kwenye maguroup ya waislamu balaa toka jana usiku ..

Kuna group moja nimo la shule ya kiislamu hii clip imerushwa watu wote na walimu wame react very postive.......

Aisee yaani ni kwamba CCM haina chake kwenye uchaguzi huu.
Mimi nipo kwenye group la masheik hawamtambui huyo Ponda na wala hata sidhani kama kuna atayekwenda kupiga kura kwa influence yake.
 
nusuhela

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
4,915
2,000
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami... Sheh Ponda ana command kubwa kwa waislamu kuliko BAKWATA....

CCM tushafanya a big mistake kwa kweli....

Suala la pili ni Lisu kumaliza kampeni Dar es Salaam. Wakati Mgombea wetu tarehe hiyo 27 atakuwa mapumnziko Chamwino... Yaani Lisu kumaliza mziki Dar is another disaster... Itakuwa ni funga kazi na atakomba kura zote Mlm 3 za Dar..

NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake.

Kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani tokea tupate uhuru anaandaliwa speech mbili. Ya kushukuru kwa ushindi na at the same time anandaa speech ya kukubali kushindwa... You have really put us in a mess You two people... Tukivuka hili, basi mjiandae kabisa na mfunge kabisa mabegi yenu. Hatuwezi kukubali kuingia na nyie tena katika uchaguzi wa 2022 na 2025.... Kama TUKISHINDA ingawa sioni dalili
Kinachowatokea ccm awamu hii hawajaamini maana walijua itakua mseleleko mwaka huu. Next time watajipanga
 
mama kubwa

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
3,467
2,000
Wachungaji kila siku wanaanzisha makongamano ya kumsifu Magufuli ma CCM yanakenua, leo mwislamu mmoja Tu kaonyesha msimamo wake imekuwa nongwa, Waacheni waamue wenyewe msiwaingilie maana wao hawahoji mkimsifia mnaemtaka.
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
25,844
2,000
Chadema kumchukua Ponda kura zitazidi kushuka mfano ni Mbeya pia kura zitashuka sana sababu ya Askofu Mwamakula ambaye Lisu amekuwa akizunguka Nate

Mbeya mjini waumini wengi ni wa kanisa LA Moraviani na sana hadi chuo kikuu pale kikubwa mno .Sasa Askofu Mwamakula alifukuzwa na Kanisa la Moravian Lisu akaenda naye Mbeya akimnadi kama Askofu !!! Makanisani wakaanza kumsema vibaya Lisu na huyo Askofu wake wa kuchonga na wameapa tarehe 28 hawatampa kura sababu yuko pamoja na muasi

Ponda pia ni muasi wa kiislamu alikuwa mwanaharakati wa kiislamu akatibuana na waislamu wenzie Lisu kambeba eti shehe wake!!!
 
Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
681
1,000
Nidiriki kusema mchezo umeisha na CCM tumeliwa hadaharani.... Ingizo la Sheh Ponda katika kampeni za Lisu ni total disaster kwetu CCM.... Kwa ratiba ya Lisu niliona jana ataenda huu ukanda wa Kibiti, Rufiji, Lindi, Mtwara na Ruvuma pia.... Huko kwa Waislamu Sheh Ponda ananguvu kama ya Tsunami... Sheh Ponda ana command kubwa kwa waislamu kuliko BAKWATA....

CCM tushafanya a big mistake kwa kweli....

Suala la pili ni Lisu kumaliza kampeni Dar es Salaam. Wakati Mgombea wetu tarehe hiyo 27 atakuwa mapumnziko Chamwino... Yaani Lisu kumaliza mziki Dar is another disaster... Itakuwa ni funga kazi na atakomba kura zote Mlm 3 za Dar..

NB:.. Bashiru na Pole Pole lazima tuwambie ukweli. Hizi kampeni za safari hii mmechemsha sana sana. Mlijua kabisa nyie ni wageni wa kuja, hamjawahi kushiriki uchaguzi wowote ule toka mzaliwe hata wq serikali ya kijiji, mkajifanya mnajua kila kitu na kuminya wengine wenye ushawishi ndani ya Chama. Sasa angalieni matokeo yake.

Kwa mara ya kwanza Rais aliyeko madarakani tokea tupate uhuru anaandaliwa speech mbili. Ya kushukuru kwa ushindi na at the same time anandaa speech ya kukubali kushindwa... You have really put us in a mess You two people... Tukivuka hili, basi mjiandae kabisa na mfunge kabisa mabegi yenu. Hatuwezi kukubali kuingia na nyie tena katika uchaguzi wa 2022 na 2025.... Kama TUKISHINDA ingawa sioni dalili
TISS wameweka kambi Mbweni ambako wana print kura FAKE zipatazo Milioni 4. Hizo kura zitaingizwa kwenye masanduku ya vituo vya Dar es Salaam.

Kwa hiyo, tusikubali kutoka vituoni baada ya kupiga kura ili kulinda kura fake zisiingizwe. Mawakala peke yao hawawezi kusimamia UHUJUMU huu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom