Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
sheikh katangaza rasmi Kuwa IDD imesogezwa mbele hadi 30/02/2016
Maana yake ni kwamba id haipo
sheikh katangaza rasmi Kuwa IDD imesogezwa mbele hadi 30/02/2016
Kwa wanadam wa karne hii nimtihaniNashukuru mdau,na mwezi huu ndo tunasisitizwa kuwa wachamungu zaidi ili baada ya mfungo tuendeleze tulojifunza ndani ya ramadhan japo wanadham hukengeuka ila RAMADHAN NI KAMA CHUO CHA KUKIFUNZA.DIni inafundisha subira na kuvumiliana ila kimaumbile wanadam hatuna subira na kuvumiliana imekua mtihani kwetu.Siku njema
Kwa akiri ya kawaida utaona hakuna Mungu hapo! Mungu na sayari wapi na wapi...! Ata mfalme keizer alikuwa ana abudu jua badae akamng'amua Jesus akaondokana na ushwetani ebu mtiini Yesu mtayaona mengi.
Baraza la Kuwakandamiza/Kuwapotosha Waislam Tanzania(BAKWATA). Wapo tayari kwa gharama yoyote ile wawapotoshe waislam, Hata ikitokea mwezi umeandama Kinondoni hawatokubali kuwatangazia waislam.
Uctoe sapot zczo na maana ili uonkane umesema kwny hoja tata..al had iwe ana kubalka au hakubalk haijalsh..ishu n kwamb wanaptsha ummah tena mchna kweupe..kukbalka kwke haina maana ypo sahh,mnaomkbal n watu kma ww ambao hamtak kfkiria zaid ya kawaida mliyoizoea..bakwata ni tatzo kwa waislam wa tz..aliwa muft acwe muft matatzo ya bakwata palepale..kwa sabb wanafuata mfumo na co dini..
Leo 17 July, 2015
Friday
1 Shawwal, 1436. Kimsingi leo idd. Kisiasa siasa idd kesho.
Nimekimbia riadha kama mwendawazimu kwa suala hilo hilo...wanaudhia sana..kama vipi iondolewe kwenye siku zinazo athiri siku za kazi kitaifa maana tutakuja fukuzana kazi.
Shit
Akiri = Akili
Mtume aliwaambia makurayshi "NYIE MNA DINI YENU NA MIMI NNA DINI YANGU,SITAABUDU MNACHOKIABUDU NA WALA NINYI HAMTAABUDU NNACHOKIABUDU" sasa wewe unasema hakuna Mungu ila kwetu kuna Mungu na maisha yanaendeleaKwa akiri ya kawaida utaona hakuna Mungu hapo! Mungu na sayari wapi na wapi...! Ata mfalme keizer alikuwa ana abudu jua badae akamng'amua Jesus akaondokana na ushwetani ebu mtiini Yesu mtayaona mengi.
Kiukweli tunazingua kwa hili na haswa ni hapa tz
Umeona! hawajamaa shule ndogo eti hawaoni km kila sikukuu wanatumislead...!
Umeona! hawajamaa shule ndogo eti hawaoni km kila sikukuu wanatumislead...!
duh!!yesu mungu!?!!!!
kuvumiliana kwenye taratibu za Kiimani muhimu..
Wakristo wamepewa siku mbili za ibada ktk wiki za kuabudu ie Jumamosi na Jumapili,Waislamu hawakupewa.
January 1 inatambulika kama sikukuu ya mwaka mpya kwa Wakristo na baadhi ya madhehebu mengine,
lakini sikukuu ya mwaka mpya ya Waislamu ambayo ni Mwezi mosi mfunguo nne haitambuliki kikatiba..
Najua hata jirani yako akikaanga pilau unaumia lakini..
TUVUMILIANE.
Mimi huwa siwaelewi hawa jamaa zetu katika Mungu mmoja. Wao sikukuu yao kutegemea mwandamo wa mwezi si hoja kwangu ila hoja ya msingi ni shida na mahangaiko ya kuuona huo mwezi km umeandama.
Ebu mtuondoleeni uvivu wa kufikiri ktk zama hizi za sayansi na technolojia mnashindwa kuwa na technolojia ya kuona km mwezi umeandama au bado.
Maana huwa mnatusumbua ata wengine tusiokuwemo mtu unaamka hujui ni Eid au la! Unawaza uende kazini au vipi jamani ebu badirikeni kila kitu kinawezekana acheni uvivu.
Leo 17 July, 2015
Friday
1 Shawwal, 1436. Kimsingi leo idd. Kisiasa siasa idd kesho.