Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Hii kali. Asante kwa elimu Mkuu


Alhaji ni mtu aliyekwenda hija nakubali...

ila jamaa jina lake ni Alhadi Mussa Salum

so kama unataka kumwita hivyo ungesema Alhaji Alhadi Mussa Salum....

Namaanisha jamaa jina lake ni Alhadi ila wengi wanachanganya wakidhani anaitwa Alhaji ....

Tafuta habari zaidi zinazomhusu utaamini nisemacho....
 
Kuutangaza mwez co jukumu la kila mtu..uislam unataratbu zake..tatzo n kwamba bakwata wamejvsha jukumu hlo na kuna wakat huwa wanapotsha..ila inashangaza waislam wa tanzania,huwa hawaikubali bakwata na wanaipga sana madngo lakn kwny mwez mackio yte kwao..
 
Alhaji ni mtu aliyekwenda hija nakubali...

ila jamaa jina lake ni Alhadi Mussa Salum

so kama unataka kumwita hivyo ungesema Alhaji Alhadi Mussa Salum....

Namaanisha jamaa jina lake ni Alhadi ila wengi wanachanganya wakidhani anaitwa Alhaji ....

Tafuta habari zaidi zinazomhusu utaamini nisemacho....

Sasa mkuu na wewe si Usilimu tu uende Hijja na sisi tukuite Alhaj Lusungo? Kwani ugumu uko wapi Kwenye Kuabudu Mungu Mmoja?
 
Yeye na aendelee kufunga na.misukule yakesisi kesho ni Iddi.

InnaLillaahi wainnailayhi raajiuun!Mtume amesema muislamu ndugu yake muislam lakin mnatushangaza waislamu nyie ambao ni ndugu kuitana misukule,...MNAFELI na adhabu kali juu yenu ina wasubiri.
 
Tanzania: 1.Mr. Zaffar Sheriff from Daressalaam City in Tanzania State - Seen

ICOP member Mr. Zaffar Sheriff from Daressalaam City in Tanzania State mentioned that the sky was partly cloudy, the atmospheric condition was hazy, the crescent was seen by naked eye, the crescent was seen by binocular, the crescent was not sought by telescope, the crescent was not sought by CCD Imaging. Source: ICOP

Mr. Zaffar Sheriff said: "The hazy condition did pose a challenge to sight the 25 hour old crescent.Our group of 30 people plus finally confirmed sighting at 6.37PM, about 23 minutes after local sunset. Ramadhaan
 
Ndugu yangu abdande kana kwamba umegeuka msemaji wangu, maana nilikuwa nataka kulizungumza hilohilo ila umeniwahi sana.
 
Last edited by a moderator:
Baraza la Kuwakandamiza/Kuwapotosha Waislam Tanzania(BAKWATA). Wapo tayari kwa gharama yoyote ile wawapotoshe waislam, Hata ikitokea mwezi umeandama Kinondoni hawatokubali kuwatangazia waislam.
 
Katika viongozi wa kidini Tanzania, Alhaj Musa Salum anakubalika sana. Ni mtulivu, mcheshi, mtu wa watu halafu dini anaimanya barabara. Akisema tumsikilize.
Nilitegemea huyu jamaa ngekua ndio sheikh mkuu.
 
Alhad!
Ndivyo wanavyomuadress daily...huwa najiuliza tofauti ya Alhaj na Alhad ni nini?
Pia sijawahi kusikia mwingine awaye yote akiitwa Alhad...ila yeye tu.

Naomba wajuvi wa haya mambo wanitoe tongotongo katika hili.. FaizaFoxy, Gang Chomba na wengine tafadhali.

Alhadi ni jina la mtu na Al Haj ni title ya aliyewahi kwenda kuhiji na pia huweza kuwa jina la mtu mara nyingi aliyezaliwa siku ya Haj, jina huwa ni Haji.
 
Alhaji ngorongoro huyo, hawa wanaenda kutalii tu, eid kesho hiyo yao ya ccm na waumin wa bakwata mtaburuzwa sana na hivi hamtaki kusoma dini, inalillah wa inna ilahi rajiuun
 
bakwata wanashangaza sana, wanasema tu hawana uthibitisho wowote ....

Hawana dalili wao kuburuza tu, na wataburuzwa wasiotaka kusoma dini, wanajua dini ni kaswida,maulid na dua
 
Alhadi ni jina la mtu na Al Haj ni title ya aliyewahi kwenda kuhiji na pia huweza kuwa jina la mtu mara nyingi aliyezaliwa siku ya Haj, jina huwa ni Haji.

Saudi Arabia: 1. Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State - Seen

ICOP member Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State mentioned that the sky was clear, the atmospheric condition was hazy, the crescent was not seen by naked eye, the crescent was not seen by binocular, the crescent was seen by telescope, the crescent was not sought by CCD Imaging Source: ICOP

South Africa: 1. Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal - Seen

Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal reported: On June 17, the moon has been sighted in Port Shepstone, KZN, South Africa. Various people have sighted the moon. Source: Moonsighting

2. Dr. Abdurrazak Ebrahi
 
Back
Top Bottom