Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Uganda leo sikukuu, hata saudi arabia, kwetu tubaendelea na mfungo kama kawa.
 
Wewe acha usumbufu kama sikukuu haikuhusu nenda kazini huko tuachie sisi wenye nayo.

Ni kweli hainihusu kiimani maana mimi na mwezi wapi na wapi shida impacts zake kwa nchi au jamii maana inatambulika kitaifa maofisi huwa hayafanyi kazi sasa hapo kwenye kujua ni sikukuu au la! Ndipo hapo kero yao...!
 
Ngoja waje.
Leo wana hasira walipoambiwa Idi imeahirishwa.
 
Kwanza mimi leo wameniharibia ratiba zangu nilishajiaminisha leo sikukuu
 
Wanaudhi sana! Ata siku ya kihama watakosea siku wanakuja leo kumbe hukumu imetolewa jana au wanasubiri kesho kumbe hukumu leo hatari yake ni wote kukubwa na kihama..! Wenye hatia na wema.
 
Mimi huwa siwaelewi hawa jamaa zetu katika Mungu mmoja. Wao sikukuu yao kutegemea mwandamo wa mwezi si hoja kwangu ila hoja ya msingi ni shida na mahangaiko ya kuuona huo mwezi km umeandama.

Ebu mtupndoleeni uvivu wa kufikiri ktk zama hizi za sayansi na technolojia mnashindwa kuwa na technolojia ya kuona km mwezi umeandama au bado. Make huwa mnatusumbua ata wengine tusiokuwemo mtu unaamka hujui ni eid au la! Unawaza uende kazini au vipi jamani ebu badirikeni kila kitu kinawezekana acheni uvivu.
Mdau kabla ya teknolojia kukua waislam walikua wanafunga na mwezi wanauona,jaalia zama hizo hakukua na simu wala vyombo vingine vya kielectronic.Suala la mwezi kwa waislam lina maelezo yake.Waislam tumeambiwa tufunge kwa kuuona mwezi na tufungue kwa kuuona mwezi.Na kama siku ya 29 hatujauona basi tukamilishe 30.Pamoja na hayo pia wapo wanaoamini kuwa mwezi ukiandama sehem yeyote duniani mtu akisikia umeandama na afunge au afungue.Lakini mambo haya yatafanyika iwapo watu watakua na mawasiliano,je zama hizo zisizokuwa na mawasiliano??mfano mwezi umeandama Indonesia watu wakaambiwa kuwa mwezi umeandama huku kwetu.Sasa ungekua umeandama huko na mawasiliano hakuna wa huku wangejuaje?Ndo hapo inakuja ile dhana ya "Fungeni kwa kuuona na mfungue kwa kuuona,msipouona basi mkamilishe siku 30".Kwangu mimi waliotungua leo sina tatizo nao maana wao wanaamini kuwa ukipata taarifa kuwa mwezi umeandama any where in the world ww fungua.Ila kwangu mimi nachoamini ni kwamba as long jana sijauona basi leo nakamilisha 30.
Turudi kwako sasa,wewe unakwazika wapi mdau?
Ijumaa njema
 
Mimi shida yangu siku kuu yenu ina athari kwa mambo ya kitaifa mfano watu wanataka kujua km kuna kazi au hamna pia ukiacha wafanyakazi kuna wapokea huduma za mofisini, kuna wanafunzi yaani kiukweli ni shida tupu...!
 
Ni kweli hainihusu kiimani maana mimi na mwezi wapi na wapi shida impacts zake kwa nchi au jamii maana inatambulika kitaifa maofisi huwa hayafanyi kazi sasa hapo kwenye kujua ni sikukuu au la! Ndipo hapo kero yao...!

KATASAN'KAZA ni hivi hata ukiangalia kalenda,wameweka alama tarehe ambazo HUENDA EID ikawa,na fhini huandika kuwa inategemea na muandamo wa mwezi.
 
Last edited by a moderator:
Jamani nimeshindwa kwenda kazini mpaka sasa nipo kitandani,naomba mniambie hyo idd ipo leo au haipo.
 
Mimi shida yangu siku kuu yenu ina athari kwa mambo ya kitaifa mfano watu wanataka kujua km kuna kazi au hamna pia ukiacha wafanyakazi kuna wapokea huduma za mofisini, kuna wanafunzi yaani kiukweli ni shida tupu...!
Nimekufafanulia vizur hapo kuwa sikukuu za Eid hasa hii eid el fitri inaendana na MWANDAMO wa mwezi,hakuna watu waliokaa ofsini au mahali wakakubaliana iwe siku fulani specific maana Eid ni sehem ya Ibada pia
 
Ngoja waje wenyewe akina faiza foxy manake wanakujaga kwa speed as if wameambiwa kuna ubwabwa!
 
Last edited by a moderator:
Alichokisema mr kyaka ni kweli na wala sio ushabiki kama unavyodhani inspekta, Haramu kufunga siku ya iddi.

kama hujui na huna ushahidi na unacho ongea ni kheri kwako ukanyamaza ili upate kufaulu..dini hii watu washageuze kitega uchumi,wapo teyari kumuasi Mungu kwa kuutangaza mwezi kwa vile amewekewa dau la dola 1500..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom