Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Alhaji Mussa Salum: Mwezi haujaonekana

Katika viongozi wa kidini Tanzania, Alhaj Musa Salum anakubalika sana. Ni mtulivu, mcheshi, mtu wa watu halafu dini anaimanya barabara. Akisema tumsikilize.
Nilitegemea huyu jamaa ngekua ndio sheikh mkuu.

Uctoe sapot zczo na maana ili uonkane umesema kwny hoja tata..al had iwe ana kubalka au hakubalk haijalsh..ishu n kwamb wanaptsha ummah tena mchna kweupe..kukbalka kwke haina maana ypo sahh,mnaomkbal n watu kma ww ambao hamtak kfkiria zaid ya kawaida mliyoizoea..bakwata ni tatzo kwa waislam wa tz..aliwa muft acwe muft matatzo ya bakwata palepale..kwa sabb wanafuata mfumo na co dini..
 
Habari wakuu

Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya uendeshaji wa chombo hiki kikuu kilichobeba matumaini ya waislamu kuhusu masuala mbalimbali yenye maslahi mazito kwa waislamu kuwa hayapewi kipaumbele na pia kukosekana kwa uwazi juu ya uendeshaji wa chombo hiki.

Mathalani: Suala la kuandama kwa mwezi, hii inajidhilisha kuwa serikali hua inatia mkono kwenye jambo hili zito kwakua kwa miaka kadhaa kumekua na mkanganyiko juu ya hill suala no mda gani sahihi Wa kusherehekea Eid el Fitr kwa usahihi kwa kuwa mikoa mbalimbali imekua ikiripoti juu ya kuonekana kwa mwezi lakini BAKWATA imekuwa ikipinga waziwazi huku ukweli unaonekana.

Hiki chombo kipo pale kwa maudhui na manufaa ya nani, Serikali au waislamu?
 
Uctoe sapot zczo na maana ili uonkane umesema kwny hoja tata..al had iwe ana kubalka au hakubalk haijalsh..ishu n kwamb wanaptsha ummah tena mchna kweupe..kukbalka kwke haina maana ypo sahh,mnaomkbal n watu kma ww ambao hamtak kfkiria zaid ya kawaida mliyoizoea..bakwata ni tatzo kwa waislam wa tz..aliwa muft acwe muft matatzo ya bakwata palepale..kwa sabb wanafuata mfumo na co dini..

Muislamu jina utamjua tu. Atakua na jina la Kiislamu, atakua hali kitimoto, atakua anafunga ili aonekane, anakunywa pombe tena bar zenye vyangudoa wengi, Nyumbani kwake hana hata kitabu kimoja au hata gazeti la dini ya kiislamu, mhudhuriaji mzuri wa miziki na gesti. Hua anajifanya kutetea uislamu sana. Msikitini anakwenda mwezi wa ramadhan tu.
 
Kauli yako si ya ki islam. Ifute tafadhali
Yeye na wale anao wakokota kiimani waendelee kufunga, sisi wengine hatufungi wala hatufungui kwa maelekezo yake yeye, kwahiyo KESHO NI IDDI.
 
Saudi Arabia: 1. Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State - Seen

ICOP member Mr. Saleh Al-Saab from ﺑﺮﻳﺪة City in اﻟﻘﺼﻴﻢ State mentioned that the sky was clear, the atmospheric condition was hazy, the crescent was not seen by naked eye, the crescent was not seen by binocular, the crescent was seen by telescope, the crescent was not sought by CCD Imaging Source: ICOP

South Africa: 1. Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal - Seen

Mr. Waheed Amanjee from Port Shepstone, KwaZulu/Natal reported: On June 17, the moon has been sighted in Port Shepstone, KZN, South Africa. Various people have sighted the moon. Source: Moonsighting

2. Dr. Abdurrazak Ebrahi

Capture.JPG
 
huamini? leo mwezi waislam wa kondoa wameuona na waislam wa tandahimba wameuona bakwata hawajautangaza hushangai hapo?

Mkuu, ni suala la MUDA tu, Ipo siku haki itawadhihirikia na wataifuata In Sha Allah. BAKWATA ina visa sana, daaah....eid kitaifa GEITA??? Yani hata haya wala aibu hawaoni, why GEITA at this time? Kweli lisemwalo lipooooooo....more comments reserved!
 
Indonesia wameswali Eid leo. Sisi tulioko Tokyo tunafuata Indonesia.

Kazi kwenu.
 
Alhadi ni jina la mtu na Al Haj ni title ya aliyewahi kwenda kuhiji na pia huweza kuwa jina la mtu mara nyingi aliyezaliwa siku ya Haj, jina huwa ni Haji.

Dada FF hii kila siku kuhitilafiana na wenzetu itaisha lini?
Inakera sana. Saudia ina tofaut gani na Tanzanua?Kila kitu tupo sawa nao! Mwez ungeonekana Japan au Kule Australia sawa, lakini kwa Saudia
 
Mimi huwa siwaelewi hawa jamaa zetu katika Mungu mmoja. Wao sikukuu yao kutegemea mwandamo wa mwezi si hoja kwangu ila hoja ya msingi ni shida na mahangaiko ya kuuona huo mwezi km umeandama.

Ebu mtuondoleeni uvivu wa kufikiri ktk zama hizi za sayansi na technolojia mnashindwa kuwa na technolojia ya kuona km mwezi umeandama au bado.

Maana huwa mnatusumbua ata wengine tusiokuwemo mtu unaamka hujui ni Eid au la! Unawaza uende kazini au vipi jamani ebu badirikeni kila kitu kinawezekana acheni uvivu.
 
Back
Top Bottom