Nenda hospitalin kaxhunguze.Sasa baada ya mchele kuidhinishwa kuwa unafaa na wananchi kuutumia je madhara ambayo yalidhaniwa kutokea yalitokea?
Sina swali!Unauliza nazi Kisiju? Kwa kuanzia wewe fuatilia vitu wanavyoandika kina elitwege na lumumba wenzie, vinashiria akili timamu? You never know, huenda ndio madhara menyewe hayo.
Thread yako naweza kusema ina ujumbe wa maana mno. Na inaonyesha jinsi Tanzania na watanzania kwa ujumla walivyo rahisi kuyumbushwa kwa manufaa ya watu wachache. Tukio la kutekwa huyu jamaa limebeba mambo mengine mengi mno nyuma na wengi wanaishia kutoa mapovu na kucheza ngoma wasioijua.Kila jambo lina wakati wake... Na hakuna kitu kinnatokea bila sababu.... Kuna wakati wa kulia na kuna wakati wa kucheka...
Binadamu kaumbwa kusahau... Watanzania ni watu wa kuendeshwa na matukio... Nafasi ya tafakuri ni ndogo sana...Thread yako naweza kusema ina ujumbe wa maana mno. Na inaonyesha jinsi Tanzania na watanzania kwa ujumla walivyo rahisi kuyumbushwa kwa manufaa ya watu wachache. Tukio la kutekwa huyu jamaa limebeba mambo mengine mengi mno nyuma na wengi wanaishia kutoa mapovu na kucheza ngoma wasioijua.
Wale wenzangu na mimi waliokua wanabeba maandazi na mahind ya kuchoma kwenye beg la madaftari nakula mda mwl anafundsha pamoja na wazee wa network error/loadin.... Na please wait.....
Mnaonaje hapa.....
Umenikumbusha huo mchele ulikuwa wa Dewji
Waandishi hovyooo... hauulizi hata simu kapata wapi?Changa hilo... Chai ya motoo
wewe ni mdogo huwezi kuyajua hayaKweli amesahaulika huyu Dr Fupi,napenda sana kusoma soma habari ila hakuna popote nilipowahi kukutana na habari hii.Mungu amrehem huko aliko.
Nenda hospitalin kaxhunguze.
Kwa uandishi huu tayar nmetambua uelewa wako..Maswali ya kitoto haya..hebu jiongeze bas
Mo alikuwa na miaka 13 au 14 kipindi hicho...Unamaanisha Mo? Nataka kutengua masikitiko yangu ya zaidi ya wiki🙈
Mo alikuwa na miaka 13 au 14 kipindi hicho..dah unaweza kutetea mtu lakini nyuma ya pazia anamambo mazito aloyoyafanya.
Amini unachoweza kuamini. Bado kuna imani feki ujueKwa uandishi huu tayar nmetambua uelewa wako..
Hapa sio kanisani wala msikiti kwamba kila analosema shekhe au padre ni amin??
Mm naamini kwa asilimia mia kuwa wewe hujui chochote kuhusiana na kisa cha Dr fupi..