Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

No matter unawekaje hili jambo, aliyekuwa nyuma ya huo mchele na unga wa ngano ni Ali Hassan Mwinyi na mke wake. Ndio maana mimi nasema alitakiwa awe amenyongwa muda. Mrema alilifuatilia hili swala akanusurika.
 
Punch Line ni hii...

" Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana! "
Duuh!
 
Hivi wakuu kupatikana kwa Mo kunahusisha jitihada za polisi au ni watekaji waliamua tu kumrudisha wenyewe?

Ila tunashukuru hawajamkashoghi.
 
Alfajiri ya leo tarehe 20.10.2018 imepokelewa na watu wengi kwa furaha kubwa baada ya kuenea taarifa za kupatikana salama mfanyabiashara kijana bilionea Mohammed Dewji... Ni furaha kwa familia, ndugu jamaa na marafiki na wale wote wasioamini katika udhalimu.....

Mwishoni mwa utawala wa rais Ali Hassan Mwinyi (CCM) mwaka 1989-90... Lilitokea jambo baya sana lililoitia nchi yetu DOA kubwa sana... Mauaji ya kutisha ya Dr. Fupi aliyekuwa mkemia mkuu wa serikali kipindi hicho... Uzalendo wa nchi yake... Utu wema wake, uamunifu na chuki dhidi ya rushwa vilisababisha maisha yake yakatishwe... Akiacha mjane na watoto wawili
Udhalimu, uchoyo, ubinafsi kukosa huruma, hamu kubwa ya kupata kuliwafanya watu wanaojifanya watu Mungu sana kusahau utu wao na kufanya ukatili mkubwa kwa mtu aso hatia! Wakaichukua roho yake mchana kweupe, na kuiachia familia yake majonzi makubwa na machozi ya milele!

Nini kilitokea!?
Kulikuwa na kampuni moja iliyokuwa inajishughulisha na uuzaji wa nafaka... Kampuni hii ilikuwa na mabohari makubwa hapa DSM... Basi kukawa na uhitaji mkubwa wa mchele na ngano kipindi hicho, na kampuni husika ikaingiza tani za kutosha ili wananchi wapate chakula na kampuni ipate pesa
Mchele ule uliingizwa toka uarabuni kupitia Zanzibar nadhani.. Habari zikavuja kwamba mchele ule haukufaa kwa matumizi ya binadamu, ulikuwa umeshaharibika... Kuthibitisha tuhuma hizi ikabidi mkemia mkuu wa serikali aitwe kuupima...!
Mkemia akafanya kazi yake kwa uaminifu na weledi mkubwa akishirikiana na senior lab technician mmoja... Hawa wawili wakaheshimu kiapo chao cha kazi.. KUTENDA KWA WELEDI NA UAMINIFU... Dr Fupi akatoa majibu yake kuwa mchele ule haufai kwa matumizi ya binadamu, yoyote ayakayeutia atapata madhara makubwa ya kiafya yajayo taratibu....
Wenye mali wakapingana na majibu ya mkemia mkuu wa serikali... Malumbano yakaanzia hapo, vitisho nk... Lakini Dr Fupi akashikilia msimamo wake!
Mwishoni mwa wiki ile ya malumbano Dr Fupi akiwa nyumbani kwake akapata ugeni.. Kuchungulia getini akaona hawa si watu wema kwakuwa walikuwa wanaparamia ukuta... Dr kwa haraka akaomba msaada wa polisi wa vituo mbalimbali (alikuwa anaishi Oysterbay)
. Kituo no moja simu ilikuwa busy
. Kituo no mbili gari haikuwa na mafuta
. Kituo no tatu kilipokea wito lakini wakafika kwa kuchelewa kidogo...
Watu wale wabaya waliingia ndani kwake kwa kuvunja mageti na milango na wakamkuta Dr akiendelea kuomba msaada.. Walimkatakata mpaka akakata roho.... Wakaondoka bila kuchukua kitu chochote...
Wiki iliyofuata msaidizi wake akakaimu nafasi yake na kutoa haraka cheti cha ubora wa mchele husika na bidhaa husika ikaingizwa sokoni, huku familia ya Dr Fupi ndugu na jamaa wakiwa kwenye majonzi makubwa ya kumpoteza baba yao... Yule senior lab technician pia alikufa inasemekana kwa sumu....
Kampuni husika ilituhumiwa sana kwenye hili lakini wakati huo Mzee Malecela akiwa mwenye nguvu kubwa akalimaliza ajuavyo yeye....

Maneno ya Mungu yanasema ni rahisi kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko tajiri kuurithi ufalme wa mbinguni.. (Ngamia sio mnyama ni lile kamba kubwa la kushikilia chombo kinapoweka nanga ufukweni ama baharini)
Mbele ya nuru ya mafanikio ya matajiri nyuma yake kuna giza lililojaa udhalimu tupu.....
Ngazi za kuwafikisha watu wengi kwenye kilele cha mafanikio ya kibiashara zimeshikiliwa na mafuvu na mifupa ya wahanga wengi sana!

Ni weekend ya furaha MO kapatikana.... Ni weekend nyingine ya huzuni kubwa kwa familia ile ya Dr Fupi iliyopokwa mpendwa wao hali wakiwa bado wanamhitaji sana... Nitamlilia daima shujaa huyu wa uzalendo asiyekumbukwa popote!
Kumbe nyuma ya utajili wa MO baba yake walishawahi kumuua Dr Fupi. Dah nimesikitika sana. Kumbe MeTL imejengwa kwa damu za watu kuuawa? Asante sana kwa kuwakumbusha watanzania. Inauma sana, nadhani MO aache kujipambanua kama mpiganaji au mjasiriamali bali ni jambazi na liuaji la watu. Na Malecela kumbe naye ni muuaji ndiyo maana alikosa urais
 
Nilitoa comment moja katika hili sakata kwamba je, hana biashara nyingine nyuma ya pazia ? ya kwamba tukumbuke katika kila utajiri uliokidhiri nyuma kuna ukafiri wa kutisha na mwisho je huyu jamaa Kama walivyo matajiri wa level yake na kuzidi kufanya biashara bila ya kuwa na mahusiano na vikundi vya kihalifu vya kimataifa atafikia vipi daraja hilo...!!
Baba humrithi yule mtoto atendae sawa na yeye.
Ni muhimu kuishi kwa kiasi kwa ajili ya amani ya vizazi vyetu na furaha yao.
Na pole nyingi kwa wanafamilia waliopoteza watu wao waliokua wanapigania ustawi wa jamii yetu...
 
No matter unawekaje hili jambo, aliyekuwa nyuma ya huo mchele na unga wa ngano ni Ali Hassan Mwinyi na mke wake. Ndio maana mimi nasema alitakiwa awe amenyongwa muda. Mrema alilifuatilia hili swala akanusurika.
Walifanya hivyo kupitia kampuni gani!?
 
Mkuu nimekuelwa vizuri mno, ni kweli kabisa siku hizi kumekuwa na changamoto nyingi sana za kiafya mfano ongezeko la watu kupooza, saratani, kuishiwa nguvu za kiume(jambo linalopelekea ndoa/mahusiano kuvurugika) , kisukari mara matezi dume.

Yumkini huo mchele umekuwa chanzo kimojawapo cha niliyoorodhesha hapo juu pengine na mengine ambayo sijayataja.

Hakika ngamia ni rahisi kupenya.....

M** ni mwinyi ambaye ndiye alikuwa msitari wa mbele na mke wake kufanikisha hilo. Kama kuna mtu yupo karibu na Mrema, wakati huo akiwa waziri wa mambo ya ndani, amwuulize.
 
Kampuni husika wakati huo iliwapoteza wafanyakazi wake wengi tu, wengine walifanyiwa unyama na ukatili wa kutisha na kutosha...
Kwenye maghala yake ya kuhifadhia nafaka wamiliki waliweka mbwa wengi sana kwa ajili ya ulinzi... Mbwa hawa walikuwa wakijisaidia kubwa na ndogo juu ya nafaka na hivyo kuzifanya nafanya kuharibika haraka kutokana na kinyesi kuoza na kutoa funza, haja ndogo kusababisha unyevu nknk.... Mfanyakazi aliyejaribu kutoa siri nje ndio ilikuwa kwaheri kubwa...! ama mwandishi wa habari aliyejaribu kufuatilia ilikuwa ama zake....
Tunapoungana na wengine kushangilia mafanikio yao ni vema tutafakari na njia walizopitia... But who cares!!!! After all the end justifies means
Aisee:eek:
 
Back
Top Bottom