Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

Kila jambo lina wakati wake... Na hakuna kitu kinnatokea bila sababu.... Kuna wakati wa kulia na kuna wakati wa kucheka...
Thread yako naweza kusema ina ujumbe wa maana mno. Na inaonyesha jinsi Tanzania na watanzania kwa ujumla walivyo rahisi kuyumbushwa kwa manufaa ya watu wachache. Tukio la kutekwa huyu jamaa limebeba mambo mengine mengi mno nyuma na wengi wanaishia kutoa mapovu na kucheza ngoma wasioijua.
 
Binadamu kaumbwa kusahau... Watanzania ni watu wa kuendeshwa na matukio... Nafasi ya tafakuri ni ndogo sana...
 
Kwa uandishi huu tayar nmetambua uelewa wako..
Hapa sio kanisani wala msikiti kwamba kila analosema shekhe au padre ni amin??
Mm naamini kwa asilimia mia kuwa wewe hujui chochote kuhusiana na kisa cha Dr fupi..
Amini unachoweza kuamini. Bado kuna imani feki ujue
 
Kwahyo watekaji tayar wamelamba chao
Screenshot_20181020-094719.jpg
 
224 Reactions
Reply
Back
Top Bottom