Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,809
- 8,970
CHALAMILA nakuita tena mara ya Pili! Nilishakukumbusha kuwa huyu Albert Msando ni njaa sana anatafta kuonekana anafanya kazi ili ufukuzwe wewe hapo akae yeye!
tokea amekuja Ubungo akili yake ipo kugombana na madereva tu ili apate hela kupitia polisi na makampuni ya UDALALI
aiianza na kusema atakamata wanaotanua njiani! akaja na kusema ataeka CAMERA naona ishu ikamuwia ngumu! sasa kaja na KAMPUNI YA UDALALI ya BOSSKAZI ili kukomaa apate hela za kufanyia UZINZI vizuri!
CHALAMILA nakuhakikishia huyu MSANDO anakupaka kinyesi! hii DAR ES SALAAM yooote ipo katika hatua za ujenzi kwa hiyo miundombinu yote ya barabara haijakaa vizuri kwa nini kosa la Serikali wawe wanabebeshwa mzigo WAPIGA KURA?
hivi MNAJUA wanachofanya hao madalali katika uonevu wao huo wanafikia kuchukua VYOMBO VYA MOTO KINGUVU na kuondoka navyo bila wenye Mali? je huo sio ujambazi
JE NI SAWA KWA UBUNGO KUWA NA KAMPUNI HII WAKATI KATIKATI YA JIJI NDIO KWENYE SHIDA YA PARKING NA UJINGA HUU HAUPO wa kuonea?
CHALAMILA FUTA KAMPUNI ZA UONEVU! mdhibiti MSANDO kabla hujatoka wewe! usiseme sijakuambia
#
Aliyetulete MSANDO ubungo mie nasema ipo siku huyu kitamkuta kitu