Olomi jerome
Member
- Jan 2, 2014
- 96
- 42
Jinsi tu Msando alivyoongea anaonekana yuko smart sana kichwani,Ameongea point ya msingi sana.Haya wale wasioweza kabisa kutumia akili zao ipaswavyo katika kudadavua mambo ya msingi na hoja madhubuti kama hizi ni fursa yenu nyingine kuporomosha mitusi,kumwaga kashfa na kuwaita wenzenu majina ya dharau kama mlivyokwishaanza kufanya hapa.Hatuwalaumu ndio upeo wenu wa kufikiri ulipogotea hapo.Kwa tulio na akili zetu kubwa na huru Msando tumekuelewa sana na hongera kwa maneno ya busara na yenye kuonyesha ukomavu wa hali ya juu wa kifikra na kimawazo.
Mzee nomependa sana post yako unatakiwa utulie kuielewa. Katika falisafa za Mwalimu Nyerere alishawahi sema " ukizoea kuua maadui zako mwisho utaua marafiki zako". Chadema wanatakiwa wajitafakali.Sawa, baada ya Zitto atafuatia nani au ndo waliobaki wote ni wanachama "watiifu, wana nidhamu ya kuvumilia kuona demokrasia ikibadilishwa maana kwa kutunga taratibu zilizonje ya utaratibu kikatiba na kutohoji lolote chamani (kifupi mnaendelea yale yale ya ndio mzee!)"
So umeamua kuachana na snitch na kufuata ma snichest...
Anyway, tunajua kuwa Kumfukuza sawa mnaweza na mtamfukuza, ila sababu za kumfukuza na utaratibu mnaoutumia sio. Muhimu kawafundisha hilo. Hataondoka Chadema kikondoo bali kishujaa.
Dhambi ya ubaguz haitawaacha salama
SASA MNAANZA KUBAGUANA WENYEWE KWA WENYEWE??MSANDO SI MCHAGA MWENZENU HUYO??
MNAMBAGUA KWA LIPI SASA,UDINI,UKANDA AU UKABILA??
MNA LAANA NYINYI
Kiti moto wewe,endelea kutafunwa.sasa nani unamlegea macho cheupe??
CC Ritz, ahmed deedat,,
We sio bure,,utakuwa mchele mchele wa mbowe,au yule mzee muuza gongo
Kiti moto wewe,endelea kutafunwa.