Eti,,mwalimu,,sijui nani kawaambia mimi ni mtaaluma hiyo..
Unajaribu ku-tabir lakin unashindwa na unahangaika sana,pole sana,
Even though siwez kuidharau na kuibeza taaluma hiyo,kwan bila walimu hao unaowadharau nisingefika hapa,au usingefika hapo,,lakin hiyo sio professional yangu,,vip unataka kuijua proff yangu??nikusaidie nikutoe kwenye hiyo tabu??
Mwehu kweli wewe,usiish maisha ya kulabdia labdia,,,watu tuna maisha yetu,,na hatutii huruma kama vikaragosi wa wanasiasa nyinyi,,
TUPO HAPA KWA KAZI MOJA TUH,KUPIGANIA RASILIMALI ZA TAIFA,KUWATESA WANASIASA NA KUKEMEA UKANDA UDINI NA UKABILA AT ANY COST AND BY ANYMEANS NECESSARY,,
WHETHER YOU LIKE IT OR NOT,YOU HAVE TO FACE IT MWEHU WEWE
bora umewaambiwa ukweli hawa vifaranga wa wahafidhina. lengo lao ni kumuangamiza Zitto. Njama zao hizi OVU hazitashinda kamwe under this sun. Akiwa chadema au nje yake.So umeamua kuachana na snitch na kufuata ma snichest...
Anyway, tunajua kuwa Kumfukuza sawa mnaweza na mtamfukuza, ila sababu za kumfukuza na utaratibu mnaoutumia sio. Muhimu kawafundisha hilo. Hataondoka Chadema kikondoo bali kishujaa.
Hata kwenye dini wanasema fata maneno usifuate muenendo wake... nadhani hata huyu jamaa zioe sera zake enzi zile zaweza kuwa fundisho ziri tu, ila huu ukuda alioufanya sasa ni aibu, anayemsupport namshangaa sana, mtu anahongwa mshiko mrefu vile tena kutoka kwa mbaya wako na sasa kasambaratisha chama afu bado ati mtu anamsupportDa Freema Agyeman ... nilijiunga Chadema nikiwa chuo inspired by Zitto Kabwe...inaniuma kuwa nilimfuata snitch!
Sioni tatizo. Zitto afukuzwe kwa kufuata sheria. Muhimu ni kwamba afukuzwe.
Kwa sasa chadema family wakiona jina la msando mahala wote kichefu chefu.
Msaliti na kibaka wa CM ana Phd ya kupokea rushwa auwe chama ndiye atakeshindwa awe ndani au nje ya chamabora umewaambiwa ukweli hawa vifaranga wa wahafidhina. lengo lao ni kumuangamiza Zitto. Njama zao hizi OVU hazitashinda kamwe under this sun. Akiwa chadema au nje yake.
Right on the money, wameamua either wachukuwe uongozi au wavunje chama.I saw this coming.Kazi kweli kweli.Naanza kukumbuka yale maneno yako kuhusu mustakabali wa hiki chama.Very sad yani kwa demokrasia nchini.
Kalaghabaho wewe uko mbali na vyombo vya habari nini? hujui yanayoendelea??
Mhavidhina Mbowe,Mhavidhina Dr Slaa na Mhavidhina Mtei! Mmepauka kimawazo!
Mushi!!watauwaje chama wakati sasa kesi imerudishwa kwenye chama ili wenye chama(Baraza Kuu) waimalize.Kama Zitto hatakiwi si Baraza Kuu litamfukuza tu na mambo yanaisha.Ila ukiona watu(Viongozi) wanaogopa kuitisha Baraza Kuu ujue kuna tatizo...wanaogopa nini?
we kifaranga wa wahafidhina. lengo lenu ni kumuangamiza Zitto. Njama zenu hizi OVU hazitashinda kamwe under this sun. Akiwa chadema au nje yake.Da Freema Agyeman ... nilijiunga Chadema nikiwa chuo inspired by Zitto Kabwe...inaniuma kuwa nilimfuata snitch!
jamaa kaongea vitu vya msingi na mwenye AKILI TIMAMU kagungua kuwa ZITO Bado anatuhuma za kijibu na kufukuzwa ni haki yake.
Jinsi tu Msando alivyoongea anaonekana yuko smart sana kichwani,Ameongea point ya msingi sana.Haya wale wasioweza kabisa kutumia akili zao ipaswavyo katika kudadavua mambo ya msingi na hoja madhubuti kama hizi ni fursa yenu nyingine kuporomosha mitusi,kumwaga kashfa na kuwaita wenzenu majina ya dharau kama mlivyokwishaanza kufanya hapa.Hatuwalaumu ndio upeo wenu wa kufikiri ulipogotea hapo.Kwa tulio na akili zetu kubwa na huru Msando tumekuelewa sana na hongera kwa maneno ya busara na yenye kuonyesha ukomavu wa hali ya juu wa kifikra na kimawazo.
hatujali na hatutajali kama ataondoka kikondoo au kishujaa kama usemayo wewe.sisi muhimu kwetu ni kumjua kirusi aliye ndani ya chama chetu ambaye amekuwa akisema kuna kirusi kumbe ni yeye mwenyewe! muhimu zaidi ni kukiondoa kirusi hiki ndani ya chama na kwenye hili we are serious, committed,focused and of course united!So umeamua kuachana na snitch na kufuata ma snichest...
Anyway, tunajua kuwa Kumfukuza sawa mnaweza na mtamfukuza, ila sababu za kumfukuza na utaratibu mnaoutumia sio. Muhimu kawafundisha hilo. Hataondoka Chadema kikondoo bali kishujaa.
We ni mtoto mdogo tu, CDM umeanza kuipenda juzi tu (2010) Usiwaongelee mbovu watu ambao nusu ya maisha yao wameyatumia kukijenga Chama.