Kwa lugha nyingine, unamshangaa Mama Samia!Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake
Bashiru alipenda madaraka na muda mfupi tu sasa tayari ana makando kando, alikuwa na kauli mbaya kuliko mkuu wa nchi, alisema waziwazi mchana kweupe kwamba dola itaisaidia CCM kubaki madarakani uchaguzi uliopita. Kwake yeye aliona ni neno la kawaida sana, mtu kama Bashiru kuja akashika madaraka ya juu zaidi atakuwa zaidi ya dikteta."Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.
Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.
Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Jizi hili likae kwa kutulia mama hataki kufanya kazi na wezi na wazinzi🤣atanyofoa mmoja mmoja Hadi amalizeAlbeto acha uchawa ,analala masaa mawili wewe mkewe mpaka ujue hilo?
Yakae kwa kutulia 🤣hatufanyi kazi na wezi 🤣Jizi hili likae kwa kutulia mama hataki kufanya kazi na wezi na wazinzi🤣atanyofoa mmoja mmoja Hadi amalize
Hivi unakijua unachoandika au unabwabwaja tuAnasaka uteuzi, kifo cha jiwe kilimuuma sana maana alikimbilia kusoma masters mbilimbili akisubiri uteuzi mkubwa zaidi. Kwa sasa mama hawezi kumuweka sehemu kwa trend yake anaangalia sana mtunasiye na scandal, Msando bado sana. Akomae na profession yake siasa ya CCM haiwezi maana yeye ni mtu wa madeal ya harakati. Pia ni group la wale waliohamia kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi, pia aliwazingua sana wenzake wakati alipopewa kamati ya ukaguzi wa mali za CCM. Ana kazi ya kujitafakari sana kuhusu future yake kisiasa, kwa sasa upinzani hawatamtaka maana aliwasaliti ingali wao ndio walimlea. Huku CCM nako hana chake
Nakijua sana na uzuri wake huyo mtu nimesoma nae UDSM kozi moja pia. Na siasa za pale tumezifanya, so usichukulie kirahisi bwana mdogoHivi unakijua unachoandika au unabwabwaja tu
Mangwini bwana we acha tu, kubwabwaja tuNakijua sana na uzuri wake huyo mtu nimesoma nae UDSM kozi moja pia. Na siasa za pale tumezifanya, so usichukulie kirahisi bwana mdogo
Nadhani wewe una shida kichwani na una ujuaji mwingi sana na utoto anyway mie sio wa kushindana kwenye keyboard maana tushazoea kujadili kwa hoja. Ungwini wangu utaukumbuka siku itakaposhtakiwa bwana mzee, utaukumbuka sana.Mangwini bwana we acha tu, kubwabwaja tu
Utoto raha kweliNadhani wewe una shida kichwani , na una ujuaji mwingi sana na utoto anyway mie sio wa kushindana kwenye keyboard maana tushazoea kujadili kwa hoja. Ungwini wangu utaukumbuka siku itakaposhtakiwa bwana mzee, utaukumbuka sana.
Pesa za kushinda kesi ya AY FA dhidi ya tigo alihonga nini?Albert anapenda kubeti.