Albert Msando: Bashiru sio mla Rushwa

Kutoka na Mayala leo wakati anahojiwa na DW kiswahili alisema kuwa dkt huyo alikuwa anaandaliwa kuja kuwa Rais baada ya jiwe kung'atuka
 
Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake
Kwa lugha nyingine, unamshangaa Mama Samia!
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Bashiru alipenda madaraka na muda mfupi tu sasa tayari ana makando kando, alikuwa na kauli mbaya kuliko mkuu wa nchi, alisema waziwazi mchana kweupe kwamba dola itaisaidia CCM kubaki madarakani uchaguzi uliopita. Kwake yeye aliona ni neno la kawaida sana, mtu kama Bashiru kuja akashika madaraka ya juu zaidi atakuwa zaidi ya dikteta.
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.

Msando ni mla rushwa, hapo alipo anajihami maana walikuwa wote kwenye tume kukagua mali za CCM na mpaka leo ripoti haijawekwa hadharani. Halafu isitoshe nani anamuamini Msando mpaka atutajie nani sio mla rushwa? Hakuna jizi lolote la kura ambalo sio lila rushwa.
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.

Albeto acha uchawa, analala masaa mawili wewe mkewe mpaka ujue hilo?
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.

Msitupotezee muda Wanafiki wakubwa.
 
Hata majobless wanafurahia Bashiru kuwa mbunge, hivi ubunge siku hizi haulipi? Mbona watu wanafanya as though Bashiru hana kitu tena. Hao hao watarudi mwezi ujao kushinikiza wabunge wakatwe hela.
 
Anasaka uteuzi, kifo cha jiwe kilimuuma sana maana alikimbilia kusoma masters mbilimbili akisubiri uteuzi mkubwa zaidi. Kwa sasa mama hawezi kumuweka sehemu kwa trend yake anaangalia sana mtunasiye na scandal, Msando bado sana. Akomae na profession yake siasa ya CCM haiwezi maana yeye ni mtu wa madeal ya harakati. Pia ni group la wale waliohamia kwa kisingizio cha kuunga mkono juhudi, pia aliwazingua sana wenzake wakati alipopewa kamati ya ukaguzi wa mali za CCM. Ana kazi ya kujitafakari sana kuhusu future yake kisiasa, kwa sasa upinzani hawatamtaka maana aliwasaliti ingali wao ndio walimlea. Huku CCM nako hana chake
Hivi unakijua unachoandika au unabwabwaja tu
 
Mangwini bwana we acha tu, kubwabwaja tu
Nadhani wewe una shida kichwani na una ujuaji mwingi sana na utoto anyway mie sio wa kushindana kwenye keyboard maana tushazoea kujadili kwa hoja. Ungwini wangu utaukumbuka siku itakaposhtakiwa bwana mzee, utaukumbuka sana.
 
Nadhani wewe una shida kichwani , na una ujuaji mwingi sana na utoto anyway mie sio wa kushindana kwenye keyboard maana tushazoea kujadili kwa hoja. Ungwini wangu utaukumbuka siku itakaposhtakiwa bwana mzee, utaukumbuka sana.
Utoto raha kweli
 
Back
Top Bottom