Albert Msando: Bashiru sio mla Rushwa

Tukiachana na ya Msando, Tuliofanya kazi na huyu mzee sote tunashangazwa na tuhuma za yeye kuhusika na ukwapuaji wa pesa "huko kunakosemekana". To the best of my knowldedge huyu mzee sio fisadi wala mwizi, Maisha yake binafsi, familia yake Mpaka shule anazosomesha watoto wake, siuoni huo ufisadi wa Dr. Bashiru.

Binafsi nampinga yeye kupewa nafasi ya KM sababu haifahamu siasa ya CCM, alichukuliwa sana na "aina ya siasa za hayati" na matokeo yake wakaumiza watu wengi, kama angekuwa KM imara anayekifahamu chama kuna vitu angeweza kumshauri Hayati, au asikubaliane nae katika baadhi ya mambo. Yaliyotokea yamesababisha chama kimepata ushindi huo lakini credibility imeshuka sana, almost to zero. Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi kuingilia siasa za majimbo, wangeachwa wabunge wapambane na hali zao na wenzao huko, Lililofanyika linanifanya niamini kuwa Hayati na Bashiru walikuwa na lao jambo.

Lakini tuhuma za wizi kwa Dr. Bashiru binafsi sitaki kuchukuliwa na upepo mpaka pale zitakapothibitishwa. Haya ni maoni yangu binafsi.
 
Tukiachana na ya msando, Tuliofanya kazi na huyu mzee sote tunashangazwa na tuhuma za yeye kuhusika na ukwapuaji wa pesa "huko kunakosemekana". To the best of my knowldedge huyu mzee sio fisadi wala mwizi, Maisha yake binafsi, familia yake Mpaka shule anazosomesha watoto wake, siuoni huo ufisadi wa Dr. Bashiru.

Lakini tuhuma za wizi kwa Dr. Bashiru binafsi sitaki kuchukuliwa na upepo mpaka pale zitakapothibitishwa Haya ni maoni yangu binafsi.
Acha kutetea upuuzi, kakwapua baada ya mzee baba kusepa🙏
 
"Kwanza hizi nafasi ni za uteuzi na kila mtu anachagua mtu ambaye anataka afanye naye kazi na kwanini. Dkt Bashiru Ally alikuwa karibu sana na Hayati Rais John Magufuli alimwamini.

Kwa upande wangu binafsi namkubali na namwamini sana Dkt. Bashiru, mimi ni mmojawapo ninayesema Dkt. Bashiru sio mla rushwa, ana nidhamu na anapenda kazi yake.

Ni mtu ambaye analala masaa mawili, saa 10 kamili alfajiri ameamka hata kama mlilala wote saa 9 hivyo ndivyo tulifanya kazi wote.

Na hicho ndio kitu ambacho alikiona Hayati Rais Magufuli kwake. Naamini kule bungeni ataongeza kitu kikubwa sana" Albert Msando, Mwanasheria.
Kweli penye uchafu tofauti mchina hubuni na kutengeneza brush ya kipekee ya kuusafisha uchafu huo bila kutumia nguvu nyingi!
Msando rejea hotuba ya CDF kule Chato, isikikize huku ukiwa na soda baridi unainywa taratibu, Kisha Rudi hapa huenda ukaikana hii post yako!
Moyo wa mtu hausemewi dogo!
 
Tukiachana na ya msando, Tuliofanya kazi na huyu mzee sote tunashangazwa na tuhuma za yeye kuhusika na ukwapuaji wa pesa "huko kunakosemekana". To the best of my knowldedge huyu mzee sio fisadi wala mwizi, Maisha yake binafsi, familia yake Mpaka shule anazosomesha watoto wake, siuoni huo ufisadi wa Dr. Bashiru.

Binafsi nampinga yeye kupewa nafasi ya KM sababu haifahamu siasa ya CCM, alichukuliwa sana na "aina ya siasa za hayati" na matokeo yake wakaumiza watu wengi, kama angekuwa KM imara anayekifahamu chama kuna vitu angeweza kumshauri Hayati, au asikubaliane nae katika baadhi ya mambo. Yaliyotokea yamesababisha chama kimepata ushindi huo lakini credibility imeshuka sana, almost to zero. Hakukuwa na sababu yoyote ya msingi kuingilia siasa za majimbo, wangeachwa wabunge wapambane na hali zao na wenzao huko, Lililofanyika linanifanya niamini kuwa Hayati na Bashiru walikuwa na lao jambo.

Lakini tuhuma za wizi kwa Dr. Bashiru binafsi sitaki kuchukuliwa na upepo mpaka pale zitakapothibitishwa. Haya ni maoni yangu binafsi.
Binti, moyo wa mtu kichaka! Umdhaniaye ndiye, kumbe siye! Pesa ni sabuni ya roho, Nani asiyezitaka? Kama kina Trump na ubilionea wake alihongwa na akachukua, kina Perez huko Israel wamehongwa huku account zao zimejaa matarakimu zaidi ya 12, Nani wa kuzikataa ambazo hujazitolea jasho?
 
bashiru alipenda madaraka na muda mfupi tu sasa tayari ana makando kando., alikuwa na kauli mbaya kuliko mkuu wa nchi alisema waziwazi mchana kweupe kwamba dola itaisaidia ccm kubaki madarakani uchaguzi uliopita, kwake yeye aliona ni neno la kawaida sana, mtu kama bashiru kuja akashika madaraka ya juu zaidi atakuwa zaidi ya dikteta.,

Yani huna uliloacha. Umesema kweli kabisa. Huyu ashike nafasi ya uRais.. tutalia na kusaga meno. Mara mia ya Jiwe. Halafu wala hakuelekea kuwa hivi, sijui kitu gani kilimkuta.!
 
bashiru alipenda madaraka na muda mfupi tu sasa tayari ana makando kando., alikuwa na kauli mbaya kuliko mkuu wa nchi alisema waziwazi mchana kweupe kwamba dola itaisaidia ccm kubaki madarakani uchaguzi uliopita, kwake yeye aliona ni neno la kawaida sana, mtu kama bashiru kuja akashika madaraka ya juu zaidi atakuwa zaidi ya dikteta.,
Hapo alipokuwa tayari alishajiona bonge la star
 
Msando ni mla rushwa, hapo alipo anajihami maana walikuwa wote kwenye tume kukagua mali za ccm, na mpaka leo ripoti haijawekwa hadharani. Halafu isitoshe nani anamuamini Msando mpaka atutajie nani sio mla rushwa? Hakuna jizi lolote la kura ambalo sio lila rushwa.
Alafu tazama media anazochagua kwenda kufanya interview
 
Back
Top Bottom