NKUU SINDE KWETU
JF-Expert Member
- Jun 26, 2013
- 830
- 91
JF,
Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.
Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.
1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.
2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.
Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.
Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.
Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.
Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
Matendo mabovu ya Zitto yalianza kabla hata ya waraka kukamatwa, mkuu hebu fumbua macho kidogo. Transaction za hela alizofanya, maongezi ya mitandao na msg vilikuwa ni ushahidi.
Hivi unazijua kazi za Udiwani??