Albert Msando apotoka tena

Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
Asante sana Mkuu@mwaikenda, sasa nyie badala ya kwenda serena nyookeni jangwani kwenye mahakama ya umma.

Zitto tupa kule!!
Heri Kutumia akili kulko kutumia ruzuku kununulia nyumba za mwkt dubai vp ruzuku inafka mikoan????? Au inaishia bils
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
82,419
Likes
50,070
Points
280
Age
29
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
82,419 50,070 280
JF,

Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.

Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.

1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.

2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.

Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.

Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.

Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.

Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
Hivi ndani ya chama chenu hamna mechanisms za kuyamaliza hayo malumbano yenu bila ya kwenda Serena na kuitisha presser?

Na dhumuni la wewe kuitisha presser lilikuwa nini?

Hivi hamjui kwamba mnavyolumbana hadharani hivi mnaipa faida CCM na kutupoteza hata sisi tusio na vyama (independents) lakini ambao tulikuwa tunawaona CHADEMA mna potential?

Hamna ma-strategists humo kwenye chama chenu? Maana mnachofanya sasa ni very amateurish. Mnamrahisishia kazi Mwigulu na wenzake. Kwanza sasa hivi Mwigulu wala hana hata haja ya kuwarushia madongo maana mnajimaliza wenyewe tu.

Tatizo lenu ni nini? Njaa ndo inawasumbua? Good grief!!!!!!!!!!!!!! Y'all suck.
 
M

MsandoAlberto

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Messages
1,019
Likes
2
Points
0
M

MsandoAlberto

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2010
1,019 2 0
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
 
mwaikenda

mwaikenda

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2011
Messages
903
Likes
2
Points
0
mwaikenda

mwaikenda

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2011
903 2 0
Mwaikenda,

1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?

2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?

3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?

Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.

4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.

5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?

Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.

Ahsante.
Msando umepotoka sana;

1. Chama kikifa leo kwa uharamia wa hao unaowatetea utaendelea kuwa Diwani?

2. Kuwa Diwani kwa karata ya CHADEMA tayari una mgongano wa maslahi na Chama kama ambavyo Kanuni niliyonukuu inatamka bila kujali ngazi yako ya uongozi.

3. Rudia kusoma press statement yako kuwa hujapata mwenendo ya taarifa kamili ya Kikao husika, narudia tena wewe ni Baraza Kuu?

4. Siku 14 ambazo taarifa ya mwenendo wa Kikao inatakiwa kufika Baraza Kuu, lipo wapi hilo Baraza Kuu? Nakupa taarifa kuwa Baraza Kuu linapokea taarifa zake zote toka Kamati Kuu ndipo lijadili kwa hiyo kivuli mnachokimbia wewe na maharamia wenzako lazima mtakikuta tu.

5. Kama dharura sio haraka tueleze maana nyingine ya dharura. Maana huyo unayedai kumwakilisha aliitwa kwenye kikao husika na akaomba kujiuzulu nyadhfa zake zote Kamati Kuu ikakataa je hilo hajakuambia?

Endelea tu. Si muda mrefu hatua mwafaka naamini zitachukuliwa dhidi yako mkateteane vizuri mbele ya safari
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,944
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,944 280
JF,

Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.

Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.

1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.

2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.

Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.

Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.

Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.

Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
Watuhumiwa kupewa barua ya kujieleza kwa siku 14 matakwa ya kikanuni na kikatiba yalitimizwa?

Je,mtu anapoomba ajiuzulu halafu ukamkatalia badala yake ukaazimia kumsimamisha kinyume na matakwa yake ya kutaka kujisimamisha imeathiri matakwa ya kikatiba?
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
408
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 408 180
Mwaikenda,

1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?

2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?

3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?

Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.

4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.

5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?

Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.

Ahsante.
Ndugu
Yaonekana unatafuta public attention,akina KIMOMOGORO hawakupata umaarufu kwa njia unayotaka kupita.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
JF,

Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.

Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.

1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.

2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.

Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.

Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.

Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.

Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
Kwa hiyo mtuhumiwa wako alitakiwa akajibu Mashtaka yake Serena Hotel kwa waandishi wa Habari??

Huoni udhalilishaji unaoufanyia Kamati Kuu ya Chama??

Unaona ni Halali Ukumbi wa Serena unaotumika kujibu hoja za Kamati Kuu ulindwe na Vijana wa CCM??

Vipi mteja wako mwingine umemshauri akimbilie kwa Msajili?

Ukijipima wewe mwenyewe unajiona bado una sifa za kuwa mwanachama wa Chadema??
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
Hivi ndani ya chama chenu hamna mechanisms za kuyamaliza hayo malumbano yenu bila ya kwenda Serena na kuitisha presser?

Na dhumuni la wewe kuitisha presser lilikuwa nini?

Hivi hamjui kwamba mnavyolumbana hadharani hivi mnaipa faida CCM na kutupoteza hata sisi tusio na vyama (independents) lakini ambao tulikuwa tunawaona CHADEMA mna potential?

Hamna ma-strategists humo kwenye chama chenu? Maana mnachofanya sasa ni very amateurish. Mnamrahisishia kazi Mwigulu na wenzake. Kwanza sasa hivi Mwigulu wala hana hata haja ya kuwarushia madongo maana mnajimaliza wenyewe tu.

Tatizo lenu ni nini? Njaa ndo inawasumbua? Good grief!!!!!!!!!!!!!! Y'all suck.
Ruzuku ndio tatzo mtei saccos wanafkiria wakikosa nafas majumba ya mwkt huko dubai watanunua vp na mtaji wa kulpa wanywa vroba wanaoshnda jf utatoka wap mtu mmoja ana id 20 chezea vroba vya ufpa wewe!!!!!!
 
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,994
Likes
496
Points
180
Mungi

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,994 496 180
100%

chadema wamekua kama wanawake wa ngomani... full time kusutana tu

its a disgrace
Take a break mkuu!!!

chadema hawasutani bali wanajibu upotoshaji wa ccm na wasaliti wake.

Ukumbuke Zitto ni mwanaccm mwaminifu anayepotosha ukweli!!

Zitto weka mbali na CHADENA!!
 
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined
Jan 18, 2007
Messages
14,602
Likes
3,944
Points
280
Ben Saanane

Ben Saanane

Verified Member
Joined Jan 18, 2007
14,602 3,944 280
Msando umepotoka sana;

1. Chama kikifa leo kwa uharamia wa hao unaowatetea utaendelea kuwa Diwani?

2. Kuwa Diwani kwa karata ya CHADEMA tayari una mgongano wa maslahi na Chama kama ambavyo Kanuni niliyonukuu inatamka bila kujali ngazi yako ya uongozi.

3. Rudia kusoma press statement yako kuwa hujapata mwenendo ya taarifa kamili ya Kikao husika, narudia tena wewe ni Baraza Kuu?

4. Siku 14 ambazo taarifa ya mwenendo wa Kikao inatakiwa kufika Baraza Kuu, lipo wapi hilo Baraza Kuu? Nakupa taarifa kuwa Baraza Kuu linapokea taarifa zake zote toka Kamati Kuu ndipo lijadili kwa hiyo kivuli mnachokimbia wewe na maharamia wenzako lazima mtakikuta tu.

5. Kama dharura sio haraka tueleze maana nyingine ya dharura. Maana huyo unayedai kumwakilisha aliitwa kwenye kikao husika na akaomba kujiuzulu nyadhfa zake zote Kamati Kuu ikakataa je hilo hajakuambia?

Endelea tu. Si muda mrefu hatua mwafaka naamini zitachukuliwa dhidi yako mkateteane vizuri mbele ya safari
Hoja namba 5 hapo umeniwahi mkuu.Thanks
 
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
13,816
Likes
75
Points
0
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
13,816 75 0
Imekuwa kama mashindano ya kujipatia publicity.

Leo hicho kiwakili Msando kimeitisha presser...hamna lolote la maana kilichozungumzia. Hakuna jipya zaidi ya kutafuta kiki.

Kesho ama keshokutwa akina Mnyika nao wataitisha presser. Hamna ya maana watakayoongea.

Ili mradi ni vurugu tu na nani anapata airtime.

I'm so sick of them.
Kupokonywa tonge mdomoni inauma mkuu
 
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
21,831
Likes
156
Points
160
TIMING

TIMING

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
21,831 156 160
Take a break mkuu!!!

chadema hawasutani bali wanajibu upotoshaji wa ccm na wasaliti wake.

Ukumbuke Zitto ni mwanaccm mwaminifu anayepotosha ukweli!!

Zitto weka mbali na CHADENA!!
Mkuu, wanahubiri compliance kwa katiba mihadhara na sio vikao vya chama
 
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2008
Messages
13,598
Likes
529
Points
280
Z

ZeMarcopolo

JF-Expert Member
Joined May 11, 2008
13,598 529 280
Mwaikenda,

1. Kutetea utawala wa Sheria na tafsiri sahihi ya Katiba yetu ni kubomoa chama? Ndio mimi ni Diwani lakini itakuwa ajabu sana kusema kwamba kumtetea Zitto lazima nijiuzulu kwanza. Mimi sio mjumbe wa Kamati Kuu, Baraza Kuu wala Mkutano Mkuu. Mgongano wa maslahi unatoka wapi? Naweza vipi kuathiri maamuzi ya vikao hivyo?

2. Je marekebisho ya Kanuni ya 2013 yalijumuisha kwamba kukiwa na dharura utaratibu uliotajwa kwenye kipengele (a) usifuatwe? Kwa nini kipengele kilichoongezwa cha (d) kilitaja utaratibu ambao hautafuatwa ni ule wa (b) na (c) peke yake? Hilo unalielezeaje?

3. Kikao cha Kamati Kuu kilikuwa kikao cha dharura? Waraka husika ulikamatwa siku hiyo hiyo ya kikao au jana yake kwa hiyo ikabidi maamuzi ya dharura yafanyike?

Kama ilikuwa ghafla hivyo kwa nini asingesimamishwa uongozi, apewe mashtaka kama Kanuni inavyosema halafu asikilizwe kwa dharura na adhabu itolewe ya kumvua uongozi? Dharura sio haraka kaka.

4. Kupewa taarifa rasmi kwa maandishi na mwenendo kupelekwa Baraza Kuu ni taratibu ambazo lazima zikamilike ili muadhibiwa aweze kukata Rufaa. Ndio maana taarifa ya nia imetolewa ili taratibu hizo zikamilike. Hakuna niliposema nataka mwenendo wa shauri. Tunachotaka ni taarifa rasmi ya maamuzi.

5. Mwenendo unatakiwa umefika Baraza Kuu ndani ya siku 14 toka tarehe 22/11/2013. Je umefikishwa?

Tusijadili kwa jazba na hasira. Mimi kueleweshwa kwa hoja ni mwepesi sana. Fanya hivyo na kama uko sahihi nitaconcede. Lakini sitaconcede kisa tu utasema akili au uelewa wangu mdogo.

Ahsante.
Una hoja za msingi.

Hata hivyo naona kunaanza kuibuka plethora of threads za kukushambulia. Lengo ni kukutoa kwenye focus. I believe you will remain focused.

May be nyinyi wachache mtakuwa chachu ya kuifanya Chadema kuwa chama cha wanachama. Msikate tamaa...
 
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2012
Messages
8,614
Likes
408
Points
180
Age
37
DALLAI LAMA

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2012
8,614 408 180
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
Msando
Kwanza wananchi wa arumeru waliolipa mamilioni wapewe viwanja mkabaka sheria wewe na MAWALA wanataka viwanja vyao mlivyochukua pale GOMBA ESTATE na BURKA la sivyo CHUNGU KITAWATAFUNA.
 
Mkwawa

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
1,333
Likes
298
Points
180
Mkwawa

Mkwawa

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
1,333 298 180
Vipi kuhusu kupatiwa mashtaka kimaandishi kabla ya kuchukuliwa hatua za kinidhamu?
JF,

Issue sio Msando Albert ni nani au kwa nini anatetea.

Issue ni rahisi natetea nini na utetezi wangu uko based kwenye nini.

1. Utaratibu wa kumvua Zitto nyadhifa haukufuatwa.

2. Sababu zilizotolewa ni circumstantial. Hazijitoshelezi. Zote zinatokana na waraka wa Mwigamba.

Kabla ya kutukana, kudharau na kukejeli yajadiliwe ninayoyasema na sio mimi.

Kama kijana, mwanachadema mwenye taaluma ya Sheria nina wajibu kusema haya. Sasa nikosolewe makosa yangu kwa nafasi hizo tatu na sio vinginevyo.

Mpaka sasa hakuna mahali ambapo hoja inatolewa ya wapi sistahili kusemea. Jazba hazijengi wala kuelekeza njia sahihi kama lengo ni kujenga.

Ila kama nia ni kupiga story tu kumaliza siku ni sawa pia.
Msando ngoja tuone wewe ZZK, Kitila na Mwigamba VS chama sisi wanachama nani mshindi. Tumesema hatumtaki mteja wako, hatukutaki wewe na hatutaki lolote kutoka kwenu. Mnakifanya sasa sio utetezi ni kampeni ya kuibomoa CDM. Kama diwani unajua vizuri sana maelezo sio sehemu ya kuwasilisha utetezi wa wateja wako. Unachokifanya ni siasa na unatumika ama wewe ndio MM2. Ninaamini kabisa wewe ni masalia group. Eti wasomi wenye uchu mnataka kupindua chama. Mtasoma namba.
 
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
13,355
Likes
720
Points
280
M

Molemo

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
13,355 720 280
Ben:

1. Ni nini ambacho nimepotosha?

2. Ni kashfa gani nimetoa dhidi ya chama?

3. Ni uzushi gani nimefanya dhidi ya chama?
Kweli wewe ni Tatizo.Yaani huoni kuitisha Press na kuropoka mashtaka ya huyo msaliti wako umeivunjia heshima Kamati Kuu?
 
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Messages
13,816
Likes
75
Points
0
TIQO

TIQO

JF-Expert Member
Joined Jan 8, 2011
13,816 75 0
Hivi hizi pesa anazomwaga bwana zitto kwa watu kama hawa si angejiwekea hifadhi zikamsaidia baadae? au ndo sikio la kufa halisikii dawa?
Angesomesha watoto yatima huko Mwandiga angepata baraka zaidi kuliko kuwapa akina Msando na waandishi kwenye Bahasha
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
[FONT=&amp]Wana Jf,[/FONT]

[FONT=&amp]Naomba ieleweke kuwa Katiba ya CHADEMA toleo la mwaka 2006 ndiyo msingi mkubwa wa kuendesha taasisi.[/FONT] [FONT=&amp]Ufafanuzi uliotolewa leo kwa vyombo vya habari na Wakili Albert Msando ni upotoshaji mkubwa wa Katiba ya Chadema na hii inatokana na aidha uelewa mdogo wa Katiba hiyo na/ au ni makusudi kwa malengo ya huyo anayedai kumwakilisha.[/FONT]

[FONT=&amp]Upotoshaji huo ni kama ufuatayo;[/FONT] [FONT=&amp]

Mosi, hatua iliyochukuliwa Kamati Kuu kumsimamisha uongozi huyo anayedai kumwakilisha ilifikiwa kwa lengo moja tu la kunusuru Chama kama hatua ya dharura kwa mujibu wa ibara ya 6.5.2 ya Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama pamoja na marekebisho ya mwaka 2013 ili kuruhusu utaratibu wa kinidhamu wa kawaida kwa mujibu wa Katiba na Kanuni. [/FONT] [FONT=&amp]Itakuwa ni taasisi ya ajabu ambayo itasubiri madhara makubwa ya uharamia uliokuwa unataka kufanyika alafu Kamati Kuu kama chombo cha kusimamia utendaji wa Sekretarieti ikae kimya alafu wahaini waendelee kuutumia mwanya wa kikanuni kuharibu na kuathiri taasisi nzima. [/FONT] [FONT=&amp]Hata hivyo Kanuni ipo kimya kuhusu dhana ya dharura, lakini kisheria dharura ni kutokana hali husika katika wakati huo au kutokana na mazingira yaliyopo (Prevailing circumstance).[/FONT] [FONT=&amp]

Pili, kuhusu kupatiwa taarifa kamili ya mwenendo wa kikao cha Kamati Kuu kama ambavyo amedai kuwa mpaka sasa yeye na huyo anayemwakilisha hawajapokea, amepotoka kabisa. Kanuni aliyonukuu ambayo ni ibara ya 6.5.10 ya Kanuni za Uendeshaji kazi za Chama inatamka kuwa taarifa kamili ya mwenendo itawasilishwa kwenye kikao cha juu. Suala hapa ni je Msando amekuwa kikao cha ngazi ya juu pamoja huyo anayedai kumwakilisha? [/FONT] [FONT=&amp]

Tatu, kuhusu anayedai kumwakilisha kutotajwa kwenye Waraka wa uhaini na hivyo kutokuwa na makosa ni jambo ambalo linaingia kwenye maudhui na hoja ambazo anayedai kumwakilisha anatakiwa kuzijibu katika muda aliopewa na kikao cha Kamati Kuu na hivyo hatua yake ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari ni aina ya utoto na kutaka msamaha/huruma ya umma (public sympathy) na kuendeleza mjadala usio na tija kwa vyombo vya habari.[/FONT] [FONT=&amp]

Nne, Wakili Msando ameshindwa kutoa dhana ya anayedai kumwakilisha kupewa mashtaka na kutakiwa kujibu ndani ya siku 14. Je haikidhi matakwa ya kikanuni kama alivyoainisha?[/FONT] [FONT=&amp]

Tano, anayedai kumwakilisha anakwepa kujibu tuhuma 11 zilizoainishwa katika hati ya mashtaka ili baada ya maamuzi, na kama hataridhika na maamuzi akate rufaa. [/FONT] [FONT=&amp]

Sita, itakuwa ni taasisi ya ajabu ambayo inaona hujuma kubwa dhidi yake alafu iache kuchukua hatua za dharura kujinusuru.[/FONT] [FONT=&amp]

Saba, Ibara ya 5.4.3 na 5.4.4 ya Katiba ya Chama toleo la mwaka 2006 ikisomwa pamoja na marekebisho ya Kanuni za Uendeshaji Kazi za Chama ya mwaka 2013, vifungu vyote hivyo vinazungumzia hatua za kuvuliwa uanachama. Ikumbukwe kuwa hatua zilizochukuliwa ni za kiuongozi na sio kumvua uanachama huyo anayemwakilisha. Hata hivyo hati ya mashtaka pamoja na agizo la kujibu ndani ya siku 14 imekidhi utaratibu wa kikanuni kama anavyodai wewe.[/FONT] [FONT=&amp]

Nane, ieleweke kuwa Wakili Msando ni Diwani wa CHADEMA katika akiwakilisha Kata ya Mabogini huko Moshi. Naomba arejee Kanuni za Madiwani ibara ya 5.0 (d) ambayo naomba kuinukuu “Diwani anawajibika kutumia hadhi, uwezo, wadhfa na nafasi aliyonayo kama Diwani kukijenga Chama ndani na nje ya Halmashauri”. Kama Wakili naamini anajua hatua za kuchukua akiendelea kukomalia suala hili, nimkumbushe tu kuwa anatakiwa ajiuzulu hiyo nafasi ili kuondoa mgongano wa kimaslahi na afanye kazi yake ya uwakili kama anataka kuendelea na kushiriki kupinga maamuzi ya Kamati Kuu.[/FONT] [FONT=&amp]

Naomba kuwasilisha.[/FONT]

[FONT=&amp]Mwaikenda[/FONT]
Akina lisu na marando wanaposmamaga mahakamani kutetea kna mramba mbona hawajajiuzulu usizungumze ktu kama hujui sheria uwakili ni kazi na si siasa usishangae mbowe ambae napenda kumuita mwkt wa kudumu kupata kesi dhidi ya wazri wa ccm na lisu na marando kuwa mawakili wa wazri wa ccm na wakili wa ccm I.e chenge akamtetea mbowe cz uwakili si kutembea na sumu ni ethcs
 
Forum statistics

Threads 1,262,918
Members 485,741
Posts 30,135,901