Ndugu Mshana nadhan umeandika machache sana kati ya mengi, kwani ukichunguza kwa umakini na jicho la tatu utaelewa vyema kipi ndugu mtoa mada hajaviandika.
Anza tu kwa kutafakari, mfano wanayoyakataza na kuyakemea ndio ndio wayatendayo tena mbele za umma,,,,,, waliyoyaahidi na kuigamba kuyaweza et leo wanayakana hadharani.
Nb: Sikijui wala sikifahamu icho kisomo,,,,,,, ila mwenye macho haambiwi ona, seriously ukiwatazama vizuri pychologically asieeeeeee they are not happy, dhamira zao zinawasuta, hawajiamini tena, wanasifia visivyostahili katika jamii, muda si mrefu nao watakuwa wanalalamika tu kama wale.