Albadir iliyosomwa Tanga

Albadir iliyosomwa Tanga

Kuna kipindi aliandika kuwa TL hana mke na aliachana na mke wake.

Nilibaki mdomo wazi!!
 
albadir inaanza kupenya - taratibu tu watatajana kina mmoja kwa namna yake!! wacha nivute kigoda changu, niwashe mtemba wangu maana movi linakaribia kuanza, ni suala la muda tu.

Wazee wa Tanga.....mpoo....?? Majibu yanaanza huku.
Mtemba... Ubaloziniiiii
 
IMG_20171003_193112_554.jpg
 
Mimi ndio maana sijapenda kabisa Albadr isomwe mimi mtu wa Pwani naijua vzr mazara yake.
Nimzuri kumtishia mtu lakini sio usomewe ni Hatari sana
 
Haya mambo mazito sana..nasikia huyo jamaa anatafuta public Interest kwa kuwa anataka kutangaza nia hapo Tabata!
 
Kuna mwingine leo alikuwa anaropokaropoka hovyo tena ni kiongozi mkuu, hovyo kabisaaaa
 
Mbona hatuoni huyo Jeri muro akioza

Au albadir ililenga suala LA ulopkaji?

Tunataka tuone watu wakifa na kuoza kabla hawajazikwa

Kuropoka tyu haitoshi maana hata mtoa mada umeropoka
 
Back
Top Bottom