Albadir iliyosomwa Tanga

Albadir iliyosomwa Tanga

Usiombe kusomewa kisomo alafu wasomaji wamesimama kwa mguu mmoja kuanzia wanaanza mpaka wanamaliza, kama huamini waulize wenyeji wa Tanga kuhusu historia ya Alfani Kigozi,,,
 
Mkuu we acha tu jirani na msikiti kuna kijana kafungua Saloon sasa akaweka mziki mkubwa km unavyojuaga saloon nyingi za kiume kuna tabia hii.
Basi wazee wa msikiti wakamfuata na kumweleza asiwashe mziki hayo maeneo anawaharibia watu Ibada kijana hakusikia na kejeli kibao akatoa wale wazee wakakaa chini wakapiga kisomo kesho yake kikajipa mziki ukaungua.
Aisee heshimu sana hv vitu
Kuna kijana mmoja alinunua shamba nje ya mji karibu na msikiti cha ajabu kwa jeuri akaenda kufuga nguruwe, wale wahusika walimfuata wakamsihi akawajibu nyodo, baada ya kisomo inadaiwa hakuwahi kukanyaga na akatelekeza na shamba.
 
Mimi kuna binti alinizungusha mwaka mzima ,nikaenda kwa mzee wangu magomeni hadi leo niko navinjari tuuu ...soloooo nampenziii
 
Inaitwa tindikali ya kiroho kuna wengine huanza kufa kwa kunyonyoka nywele kucha ngozi hatimaye nyama.. Ni vifo vya mateso mno
mshana jr ndugu yangu. Wala si albadir per se! Ni njaa kali iliyopitiliza ikichochewa na tamaa ya fisi! Vijana wameshamsoma mwenyekiti wetu. Wameshajua huwa anateua watu wa aina gani! i.e. tabia za kibashite bashite na ki-Gambo Gambo! Basi wao wanafanya bidii ya kuvaa tabia hizo ili waonekane kwa urahisi! Ukuu wa Wilaya na Mkoa unafanya watu wanakuwa kama wamepata madhara ya albadir! Lakini huko mbali na ukweli kwani binadamu mzima kujitoa ufahamu namna hii ni sawa na kupigwa albadir tu!
 
...[HASHTAG]#mshana[/HASHTAG] jr kumbe ...[HASHTAG]#cocochanel[/HASHTAG] ni goma lako sikujua hilo hehehe

Ova
 
Inasemekana ndio albadir mbaya zaidi kuwahi kusomwa, maana madhara yake yalikumba hata wasiohusika. Ilisomwa kwa niaba ya Mzee mmoja wa kidigo baada ya kuchoka kuibiwa nazi zake na vijana wa Tanga mjini, na alifikia maamuzi hayo baada ya kutoa onyo na tahadhari!

Albadir ile ilikausha majani ya njia walimopita wezi, visu vilivyotumika vilikatikakatika, punda aliyebeba alikufa, gari ya punda ikiharibika vibaya, wezi wote walikufa wameachama huku nguo za siku ya tukio zikiwa kama zimemwagiwa tindikali, miili yao ilioza kwa kasi ya ajabu hata kabla ya kuzikwa, yeyote alinunua ama kuhusika na zile nazi alipata madhara ya ugonjwa na kifo.....

Inasemekana makaburi ya wale wezi vijana wane, hayakuota majani kwa miaka mingi. Tukio la kushambuliwa TL liliwaumiza na kuwasononesha watu wengi, ndani na nje ya nchi.. Wengi walilichukulia kama uonevu mkubwa

Kitu hicho kikapelekea kuja na wazo la kusoma kisomo cha albadir kwakuwa kulikuwa na hisia kwamba haki haitatendeka...
Visomo husika vilisomwa japo si kwa mafanikio sana kwakuwa zilitumika nguvu kubwa sana kuvizuia lakini vilisomwa kwa siri kwenye baadhi ya maeneo...

Lakini hata kama visingesomwa ile hali tu ya kusononeka kwa watu wengi kwa pamoja na kutajataja visomo, kiroho hali hiyo ilileta athari kwa wahusika (hapa nitapingwa na baadhi ya watu)

Baada ya hapo yameanza kutokea mambo ambayo ukiyatazama kwa jicho la kiroho kisha ukaunganisha dots ni kama vile kuna uhalisia unaoshabihiana na visomo vilivyosomwa....

Athari za visomo vya albadir wakati mwingine si lazima afe mtu, bali hata kuchanganyikiwa na kuharibikiwa kwa mambo pia yaweza kuwa ni matokeo ya kisomo

Visomo vimepingwa na kukosolewa kwa maelezo marefu mengine yakiwa hayaeleweki lakini asikudanganye mtu kisomo ni kisomo tuu. Usijaribu kabisa kukidharau

Jerry Muro kijana aliyechipukia kwenye uandishi wa habari hata kufikia kupata tuzo, ni muwewesekaji namba moja.. Achana na yaliyowahi kumkuta huko nyuma bado alikuwa anaweza kuandika hoja na ikaeleweka....

Lakini sasa inafika mahali unamuonea imani... Haeleweki anaandika nini na kila anachoandika kinakuwa na mapungufu mengi kuliko ya goma langu cocochanel

Najiuliza Jerry anayejivunia kupata degree moja nchi tatu tofauti ana nini na CHADEMA? Ana nini na TL!? Ana nini na akina Nasari na Lema? Ni kisomo kimempata ama kuna asili yenye mizizi mirefu iliyokuja kuzaa chuki kubwa namna hii? Je kuna wakati pengine alitaka kuingia CHADEMA na kutegemea apate nafasi halafu akakosa?

Vyovyote iwavyo Jerry ni mhanga mkubwa wa yanayotokea sasa na yamemjeruhi kwa namna ya kipekee kabisa na ni katikati ya kiwewe hicho anakaribia kuwehuka kabisa na kuropoka hata ambayo hakupaswa kuyasema... Kuna faida katika kuweweseka kwake!

Kuna faida kwenye kuropoka kwake! Anatufunulia mengi ambayo tungetumia muda mwingi na nguvu pia kuyajua. Ni wakati wetu sasa tuvute viti, tukae kimya tuli kabisa tutege masikio, wanaoweweseka wanazidi kuongezeka... Visomo haviendagi bure

JERRY MURO anaeleweka anachoaandika labda tatizo ni kuonesha hasira zake kwa wale ambao anaamini hawako upande ANAO AMINI YEYE. Hivyo mara nyingi anatumia LUGHA KALI, lakini kama utaziweka hizo kasoro nilizo zitaja kuna baadhi ya mambo yana ukweli,hata hivyo ni mtazamo wangu binafsi, niko tayari kukosolewa!!!
 
Inasemekana ndio albadir mbaya zaidi kuwahi kusomwa, maana madhara yake yalikumba hata wasiohusika. Ilisomwa kwa niaba ya Mzee mmoja wa kidigo baada ya kuchoka kuibiwa nazi zake na vijana wa Tanga mjini, na alifikia maamuzi hayo baada ya kutoa onyo na tahadhari!

Albadir ile ilikausha majani ya njia walimopita wezi, visu vilivyotumika vilikatikakatika, punda aliyebeba alikufa, gari ya punda ikiharibika vibaya, wezi wote walikufa wameachama huku nguo za siku ya tukio zikiwa kama zimemwagiwa tindikali, miili yao ilioza kwa kasi ya ajabu hata kabla ya kuzikwa, yeyote alinunua ama kuhusika na zile nazi alipata madhara ya ugonjwa na kifo.....

Inasemekana makaburi ya wale wezi vijana wane, hayakuota majani kwa miaka mingi. Tukio la kushambuliwa TL liliwaumiza na kuwasononesha watu wengi, ndani na nje ya nchi.. Wengi walilichukulia kama uonevu mkubwa

Kitu hicho kikapelekea kuja na wazo la kusoma kisomo cha albadir kwakuwa kulikuwa na hisia kwamba haki haitatendeka...
Visomo husika vilisomwa japo si kwa mafanikio sana kwakuwa zilitumika nguvu kubwa sana kuvizuia lakini vilisomwa kwa siri kwenye baadhi ya maeneo...

Lakini hata kama visingesomwa ile hali tu ya kusononeka kwa watu wengi kwa pamoja na kutajataja visomo, kiroho hali hiyo ilileta athari kwa wahusika (hapa nitapingwa na baadhi ya watu)

Baada ya hapo yameanza kutokea mambo ambayo ukiyatazama kwa jicho la kiroho kisha ukaunganisha dots ni kama vile kuna uhalisia unaoshabihiana na visomo vilivyosomwa....

Athari za visomo vya albadir wakati mwingine si lazima afe mtu, bali hata kuchanganyikiwa na kuharibikiwa kwa mambo pia yaweza kuwa ni matokeo ya kisomo

Visomo vimepingwa na kukosolewa kwa maelezo marefu mengine yakiwa hayaeleweki lakini asikudanganye mtu kisomo ni kisomo tuu. Usijaribu kabisa kukidharau

Jerry Muro kijana aliyechipukia kwenye uandishi wa habari hata kufikia kupata tuzo, ni muwewesekaji namba moja.. Achana na yaliyowahi kumkuta huko nyuma bado alikuwa anaweza kuandika hoja na ikaeleweka....

Lakini sasa inafika mahali unamuonea imani... Haeleweki anaandika nini na kila anachoandika kinakuwa na mapungufu mengi kuliko ya goma langu cocochanel

Najiuliza Jerry anayejivunia kupata degree moja nchi tatu tofauti ana nini na CHADEMA? Ana nini na TL!? Ana nini na akina Nasari na Lema? Ni kisomo kimempata ama kuna asili yenye mizizi mirefu iliyokuja kuzaa chuki kubwa namna hii? Je kuna wakati pengine alitaka kuingia CHADEMA na kutegemea apate nafasi halafu akakosa?

Vyovyote iwavyo Jerry ni mhanga mkubwa wa yanayotokea sasa na yamemjeruhi kwa namna ya kipekee kabisa na ni katikati ya kiwewe hicho anakaribia kuwehuka kabisa na kuropoka hata ambayo hakupaswa kuyasema... Kuna faida katika kuweweseka kwake!

Kuna faida kwenye kuropoka kwake! Anatufunulia mengi ambayo tungetumia muda mwingi na nguvu pia kuyajua. Ni wakati wetu sasa tuvute viti, tukae kimya tuli kabisa tutege masikio, wanaoweweseka wanazidi kuongezeka... Visomo haviendagi bure
Tatizo la Jerry " wamemchezeya" saaaaana!!
 
Usiombe kusomewa kisomo alafu wasomaji wamesimama kwa mguu mmoja kuanzia wanaanza mpaka wanamaliza, kama huamini waulize wenyeji wa Tanga kuhusu historia ya Alfani Kigozi,,,
Duu ni kweli kabisa kwakuwa hata shetani akisimamia mguu mmoja hasa wa kushoto lazima kinuke mbaya
 
Mshana eeeeeeh
Unataka niandike humu utanipa tuzo ya kuandika JF ha ha haaaaa tena ndio nazidi kufurahia mnaninoti jamani hadi raha tupuuuu

Uandishi wangu wa humu ndani ni kama kawa eeeeh na bado

Hata mkinisema najua mnapenda kuyasoma yangu na ndio Cocochanel..

Eti goma ha ha haaaaaaa pita hukoooooooo

Jerry mlitaka kumtenda mkashindwa!!! Nondo zake mnajua ni bombaaaaa.. humu watu wakishusha nondo mnawaita majina ya ajabu kama vile hawana akili ila tumewazoea.
 
Soon hujy jamaa jry maro sijui manini ataishia kubaya, atapotea kama ua lililonyauka, nahisi ana wadudu kichwani kama kondoo
 
Back
Top Bottom