akili za ccm utazijua tu!Marekani wanaishi kwa hofu zaidi. Angalia hata budget ya ulinzi
Jenga hoja acha vitoja. Mie sina chama. Nadhan umeleta mjadala huru, kubaki maoni ya watu usilazimishe Kila mtu afikiri Kama weweakili za ccm utazijua tu!
Dah.. tuko wengi hapa... wengine wanacheza draft.. wengine dhumna,...wengine wako na vikombe vya kahawa na kashata..kina mama pembeni pale wana kaanga mihogo yao.. mita chache mbele kuna kijiwe cha bodaboda wako wanatega abiria.. daladala zinapishana tu route zote.. mimi hapa napita tu baada ya kutoka sokoni.. kulikuwa na lundo la watu wakitafuta mahitaji yao..kote huko sijaona sura zenye hofu..wala viashiria vyovyote vya ukosefu wa amani..
Vipi kwa upande wako wewe mleta mada, hali iko vipi maeneo yako?
Hofu inakuwa ndani huwezi iona.Dah.. tuko wengi hapa... wengine wanacheza draft.. wengine dhumna,...wengine wako na vikombe vya kahawa na kashata..kina mama pembeni pale wana kaanga mihogo yao.. mita chache mbele kuna kijiwe cha bodaboda wako wanatega abiria.. daladala zinapishana tu route zote.. mimi hapa napita tu baada ya kutoka sokoni.. kulikuwa na lundo la watu wakitafuta mahitaji yao..kote huko sijaona sura zenye hofu..wala viashiria vyovyote vya ukosefu wa amani..
Vipi kwa upande wako wewe mleta mada, hali iko vipi maeneo yako?
Kama ambavyo mh Mbowe alivyoshambuliwa hivi karibuni na kundi la wasio julikana na kuvunjwa mguu ama sivyo mkuu?Hilo ni kweli kabisa, sasa hivi tunaongozwa kwa shuruti kwa amri zake. Kuna lile kundi la watu wasiojulikana ndio hutumika kunyamazisha kwa kuwateka, kuwaachia vilema hata kuwaua. Hili wala halina mjadala. Chaguzi za nchi hii zinanajisiwa kwa maagizo yake. Vyombo vya habari vya hapa nyumbani vimetishwa, ili visiripoti huu unyama, bali viripoti atakavyo.