Al Jazeera: Watanzania wanaishi maisha ya hofu na mashaka katika utawala wa Rais Magufuli. Je, hili lina ukweli wowote?

Kama siyo mhalifu, hofu ya nini?

Watu wawili Kioanya, Zito ndiyo watanzania hao?
Utafiti was wapi huo? Au na Al Jazira wamekuwa poyoyo kama Tanzania Daima?
Mizani ya kimaudhui inahitajika mkuu.
 
Kwani wewe unakaa nchi gani? Haulijui hili? Watu wanaogopa hata kuongea mambo yao kwenye simu, email,... Dikteta kakaba njia zote. Hata ile kuweka neno dikteta hapa moderator anatetemeka hata kama sikumtaja mtu. Ameifuta mara ya kwanza, nikairudisha. Hiyo yote ni wasiwasi.
hahahahahaaaa meko DIKTETA :rolleyes: :D:D:D:D
 
Dah.. tuko wengi hapa ... wengine wanacheza draft .. wengine dhumuna ... wengine wako na vikombe vya kahawa na kashata .. kina mama pembeni pale wana kaanga mihogo yao .. mita chache mbele kuna kijiwe cha bodaboda wako wanatega abiria ..

daladala zinapishana tu route zote.. mimi hapa napita tu baada ya kutoka sokoni .. kulikuwa na lundo la watu wakitafuta mahitaji yao..kote huko sijaona sura zenye hofu .. wala viashiria vyovyote vya ukosefu wa amani ..

Vipi kwa upande wako wewe mleta mada, hali iko vipi maeneo yako?
DIKTETA uchwara haijapata kutokea
 
Kwani wewe unakaa nchi gani? Haulijui hili? Watu wanaogopa hata kuongea mambo yao kwenye simu, email,... Dikteta kakaba njia zote. Hata ile kuweka neno dikteta hapa moderator anatetemeka hata kama sikumtaja mtu. Ameifuta mara ya kwanza, nikairudisha. Hiyo yote ni wasiwasi.
Hahaha...
Mi-5 tena'🙄
 
Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za kunyanyua Uchumi wa Tanzania lakini pia Watanzania hawako salama chini ya utawala wake.

Masoud Kipanya, ambaye ni mchora katuni maarufu hapa nchini alihojiwa akasema kuwa anaishi kwa hofu kubwa, anashindwa kufanya kazi zake yeye kama msanii anasema kuna baadhi ya kazi ameshindwa kuzi-publish kwa kuhofia usalama wake.

Zitto pia kwa upande wake amesema kuwa ni kweli Rais ana nia ya kuleta maendeleo chanya kwa Watanzania na ni mtu mwenye msimamo na uthubutu lakini ameonesha kila aina ya udikteta hiyo imekuwa sababu ya Watanzania kwasasa kuishi kwa hofu kubwa.

Swali: Je, ni kweli Watanzania hatuko salama? Ni kweli Watanzania tunaishi maisha ya hofu?

Kuna ushahidi upi kuwa Watanzania wanaishi maisha ya hofu kama tunavyoelezwa?
 
Kipanya na Zito ndo microphone ya watanzania?, wao ndo sample na study population tosha kusemea watanzania
 
yenyewe tu hapa nacomment kimashaka sababu cjui aisomaye nani mwisho wa siku nipotezwe
 
Jana tarehe 28/01/2021 nilikuwa nasikiliza VOA - matangazo ya Kiswahili kupitia RFA, ya kuanzia saa 19:30-20:00hrs. Matangazo hayo yalisitishwa ghafla walipo anza kutangaza wimbi jipya la Corona nchini Tanzania.
 
Nikiwa kwenye pitapita zangu huko mitandaoni nimekutana na makala fupi ya chombo cha habari maarufu Al Jazeera, katika makala hiyo wameeleza kuwa utawala wa Magufuli umeonyesha jitihada kubwa za kunyanyua Uchumi wa Tanzania lakini pia Watanzania hawako salama chini ya utawala wake.

Masoud Kipanya, ambaye ni mchora katuni maarufu hapa nchini alihojiwa akasema kuwa anaishi kwa hofu kubwa, anashindwa kufanya kazi zake yeye kama msanii anasema kuna baadhi ya kazi ameshindwa kuzi-publish kwa kuhofia usalama wake.

Zitto pia kwa upande wake amesema kuwa ni kweli Rais ana nia ya kuleta maendeleo chanya kwa Watanzania na ni mtu mwenye msimamo na uthubutu lakini ameonesha kila aina ya udikteta hiyo imekuwa sababu ya Watanzania kwasasa kuishi kwa hofu kubwa.

Swali: Je, ni kweli Watanzania hatuko salama? Ni kweli Watanzania tunaishi maisha ya hofu?

Kuna ushahidi upi kuwa Watanzania wanaishi maisha ya hofu kama tunavyoelezwa?
Si kweli pamoja na kwamba kuna mapungufu fulani hasa katika kupata habari kupitia tweeter, vyombo vya habari vya nje n.k. Ili tuchambuwe wenyewe na kutoa maoni yako, ila afadhali ya kwetu kuliko huko Qatar, Bahrain, Saudi Arabia n.k....
 
Jana tarehe 28/01/2021 nilikuwa nasikiliza VOA - matangazo ya Kiswahili kupitia RFA, ya kuanzia saa 19:30-20:00hrs. Matangazo hayo yalisitishwa ghafla walipo anza kutangaza wimbi jipya la Corona nchini Tanzania.
We umeliona hilo Wimbi jipya la Corona?

Hilo Wimbi la kwanza liliisha kwa njia zipi?
 
mambo yote yalikuwa na yapo wazi impericaly. Lkn pia Tanzania hakuna Corona bali severe pneumonia that is non responsive to antibiotics
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom