#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

yetu masikio wala hatuna maamuzi,tunashindwa kuegemea upande wowote ule ama serikali au mashirika ya kimataifa mfano WHO
Yote kwa yote tunamuomba mwenyezi Mungu atuokoe na janga hili ila kumbukeni kuwa Mungu yu mwema kwa wote hapa duniani si Tanzania pekee
 
Nimemsoma Magufuli akizungumzia ujio wa Corona mpya nchini kwanz amekiri ipo akidai imeletwa na watu walioenda kutafuta chanjo nje, hapa naamini lile tamko lake la kusema Corona hakuna Tanzania ndio kalifuta rasmi.

Lakini pia amekazania watanzania wasitumie kinga kwasababu wazungu hawatupendi, hiyo kinga anadai inaweza kusababisha tusizaliane kwa mtazamo wake anadai wazungu hawapendi tuzae.

No research, no right to speak; huyu mtu aliemtumbua yule mtoto wa Malecela NIMR kwasababu alitimiza majukumu ya kazi yake kwa kutoa taarifa ya kitaalamu nitamwamini vipi kwenye hii sababu yake ya wazungu hawatupendi? sio yeye ndio hapendi matokeo ya kazi za kitaalamu?

He is not a doctor or a pharmacist, but kwanini hupenda kuingilia taaluma za watu kwa kutoa majibu mepesi kwenye maswali ya msingi? hapa nikisema yeye ndio hawapendi wazungu ndio maana huwasingizia vitu asivyo na uthibitisho navyo nitakuwa nakosea?

Nikiri hapa, mtazamo wa Rais wetu kwenye hili jambo ni wa kushangaza na kusikitisha, sasa kama Rais hataki watu wake wajikinge kwa chanjo ambayo naamini ametumia hisia kusema hiyo chanjo sio salama kwa raia, na kusisitiza watu wajifukize.

Sasa huku kujifukiza kulithibitishwa na maabara ipi hapa kwetu wakati maabara ile ya mwanzo iliyopima mapapai walidai ilikuwa mbovu? na mtaalamu wake akatumbuliwa?
Malecela alivyosema kuna zika uliwahi kuona toka afanye imetokea Tanzania?..wazungu bwana ni ngumu kuwaelewa kwanini wakomalie kipindi hiki lazima watu wadungwe sindano kuliko vipindi vyote?!!!..kwamba wanawapenda sn watz!!!...akili kumkichwa kuna jambo zito linalopikwa ndio maana nguvu kubwa inatumika kiliko kipindi chote cha majanga yaliyowahi kuikumba dunia

Hpa kuna kinga 2 moja ni kwa ajili ya wazungu na nyingine kwa ajili ya waafrika....ile ya wazungu ambayo ndio kinga halisi na ni ghali sn inagawiwa kwa wazungu tena wachache sn kiasi kwamba hata wazungu wa umoja wa ulaya hawaipati ....hii kinga ya pili wanayokomaliwa waafrika ndio yenye usiri mkubwa ndn yke ndio maana welevu wachache wanaipinga vikali

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Yes. Unawapa data watu ili wapate hofu na wacheze kwa step. Nothing else.

Hao tested positive labda watashauriwa wakajiquarantine makwao ili kupunguza maambukizi mitaani

Sasa kama Magufuli na daktari Gwajima wake wameset bei ya kinyonyaji ya kupimia covid ($100) nani ataenda kupima kama hahitaji cheti kwa ajili ya safari?

Bei ya kinyonyaji $100.00. Mkuu unaweza kutuelezea bei ambayo siyo ya kinyonyaji na kutufafanulia hiyo gharama inatokana na kitu/vitu gani? Mfano, gharama ya kupima, maabara gharama yake pamoja na vipimo, gharama nyingine nk?

Back up your narrative with evidence.
 
Hiyo corona mRNA vaccine ilikuwa bado kwenye majaribio (experimental vaccine) na imetolewa katika mazingira ya dharura (emergence use). Hii ina maana kwamba binadamu wamegeuzwa kuwa wanyama wa majaribio (experimental animals) kwa chanjo ambayo bado ipo kwenye majaribio, hivyo rais yupo sahihi kwa namna alivyoongea...
 
Ndio faida ya kuongea bila kufanya utafiti.
Uzuri dunia,Kijiji,na tekinolojia mchawi wa kisasa,hivyo tumtumie huyo Sana ,tuachane na tunguri za kibongo hizo ndio zinazochelewesha maendeleo na sii wale wa mawazo mabadala.
 
Bei ya kinyonyaji $100.00. Mkuu unaweza kutuelezea bei ambayo siyo ya kinyonyaji na kutufafanulia hiyo gharama inatokana na kitu/vitu gani?
Tulianza kupima kwa TZS. 40,000/- then ikaja TZS. 100,000/- na sasa ni equivalent ya TZS. 230,000/-

Well, ni bei ya kawaida kabisa maana reagents ni ghali. Nimetengua kauli🙂
 
..sasa mbona tulikurupuka kwenda Madagascar kuchukua mitishamba?

..sisi tulitakiwa tuchukue tahadhari ambazo ziko ndani ya uwezo wetu kama kuvaa barakoa, na kuosha mikono.

..pia tulipaswa kuhakikisha kila mgeni anayekuja nchini ana cheti cha corona toka huko alikutoka.
Vyeti vya corona ni wendawazimu tu mwingine. Unapima huna corona. Unaipata mara tu baada ya kupima. Unatembea na cheti kimeandikwa huna corona! Huo kama siyo wendawazimu ni nini!

Hayo mengine sioni haja ya kuyazungumzia maana inaonesha maelewano yako mbali sana.
 
Rais Magufuli ameongea ukweli mchungu!

sio kila kitu lazima uongee. Kuna mambo unafanya kimya kimya. Shida ya haya maneno mengi, yanawapa hawa muda wa kutupa wakati mgumu. Hatutaweza kusafiri nje kama hatuna chanjo ya Covid. Probably ni kiini macho. Probably itatuletea madhara. But we are an ingredient in the unit system, which is the world. We can't disassociate ourselves with the rest of the world for that matter.
Tuzidi kuomba Mwenyezi Mungu atunusuru
 
Vyeti vya corona ni wendawazimu tu mwingine. Unapima huna corona. Unaipata mara tu baada ya kupima. Unatembea na cheti kimeandikwa huna corona! Huo kama siyo wendawazimu ni nini!

Hayo mengine sioni haja ya kuyazungumzia maana inaonesha maelewano yako mbali sana.

..hakuna kipimo ambacho kiko sahihi kila wakati 100%.

..pamoja na kasoro za hapa na pale bado ni salama zaidi kama tutadai wote wanaoingia Tz waje na vyeti vya covid-19.

..suala la barakoa nalo ni muhimu ili kutuepusha na maambukizi kutoka kwa wale chache ambao vipimo viliwapa majibu yasiyo sahihi.

..kama nchi tulitakiwa tuchukue tahadhari zilizoko ndani ya uwezo wetu ambazo ni barakoa na usafi wa mikono.
 
Evidence gani hawa mambumbu wanataka!? Vifo vinavyotokea kwa waliochanjwa huko duniani hawaoni! Ujuha huu nao! Chanjo yenyewe haikingi maambukizi mapya! Wao kama wanaona haina madhara si wajichanje tu na watuache sisi tukijifukiza na kumuomba Mungu wetu!
 
sio kila kitu lazima uongee. Kuna mambo unafanya kimya kimya. Shida ya haya maneno mengi, yanawapa hawa muda wa kutupa wakati mgumu. Hatutaweza kusafiri nje kama hatuna chanjo ya Covid. Probably ni kiini macho. Probably itatuletea madhara. But we are an ingredient in the unit system, which is the world. We can't disassociate ourselves with the rest of the world for that matter.
Tuzidi kuomba Mwenyezi Mungu atunusuru
Yaani unaona mimtu inakimbilia hatari na ww kama nyumbu unaunganisha kufuata mkumbo kisa usiji'dissociate!? Hii akili au matope! We'll stand as winner in this as well! God Almighty 🙏 is in our side!
 
Usiwe mouth piece ya mtu mwingine, jifunze kufungua ubongo wako na kufanya uamuzi through logic reasoning. Kuna justification zipi zinathobitisha chanjo hiyo ni effective kwa waathirika (victims) in reality everybody is exposed to the risk. Utafiti mpaka ufanwe na ngozi nyeupe au mtu anayefanya katika taasisi kubwa za kimataifa kuhusiana na masuala mbalimbali? What do you mean by justification of reasoning challenge against those you call them health experts? Too pathetic argument.
Reasoning ipi wakati science ni purely objective haihitaji siasa..... Wao wamefanya pre test na ikaonekana effective kwa subjects wao sasa anakuja mbongo mmoja ambaye hapo ulipo unatembea na chanjo za surua ulizopigwa ukiwa mdogo kutoka kwa hao hao mabeberu afu unajifanya kudiscredit kwa kutoa maneno matupu?

Theories zote duniani zimepingwa kwa tafiti sio kelele..... Kma hizo vaccine ziko ineffective basi toa paper yako kuprove hilo maana haiwezekani ww peke ako uwe sahihi ilihali epidemiologist walio certified wamepitisha hizo vaccine alafu ww usiye hta na diploma ya veterinary medicine unakosoa kwa mere hear say.

I hear intelligence justice!! My foot
 
.kama nchi tulitakiwa tuchukue tahadhari zilizoko ndani ya uwezo wetu ambazo ni barakoa na usafi wa mikono.
As long as Serikali haijapiga marufuku watu kuvaa barakoa au kunawa mikono, hili halihitaji tamko.

Hii kitu bana kila mtu apambane kivyake tu maana hakuna namna
 
Naweka WHO document ambayo inaonyesha juhudi za wazungu, "adui zako"/adui zetu idadi ya chanjo za covid-19 ambazo ziko katika hatua mbali mbali za development.
Kweli makampuni yote haya yananuia kutengeneza vaccine kuwaua waafrika? Common sense and logic kweli watanzania inatuongoza hivyo tukuamini kauli zako?
 

Attachments

  • Status_COVID_VAX_25Jan2021.pdf
    282.2 KB · Views: 10
Naweka WHO document ambayo inaonyesha juhudi za wazungu, "adui zako"/adui zetu idadi ya chanjo za covid-19 ambazo ziko katika hatua mbali mbali za development.
Kweli makampuni yote haya yananuia kutengeneza vaccine kuwaua waafrika? Common sense and logic kweli watanzania inatuongoza hivyo tukuamini kauli zako?
Magu did science just for the money. He doesn't believe in it.

The big man is in fond with Ndumba.
 
Ataletewa from china na ata chanja wewe achana akili za wana siasa ......pambana Hali yako Na familia yako
 
Back
Top Bottom