#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Kila kitu kina sababu ya kuwepo kwake.. hao watu wala sio wa kuwaamini
 
Hizo ni consequences za kujiaminisha kuwa wewe ni bora sana kuliko wengine na hatimaye utamuona kila mtu anachofanya ni kwa nia ya kurudisha nyuma wewe
 
Naona kwa yeye huenda chanjo sio kipaumbele.


Hivi kuna mchezaji wa Taifa Stars aliyeripotiwa kuwa na Corona.?
 
Katika hili naungana na Magufuli... Aljazeera propaganda zenu pelekeni hukohuko, nyambaf!

Na nyinyi mnaomnanga Magufuli siwaelewi kwasababu ameshasema na ameendelea kurudia mara kwa mara kwamba endeleeni kuchukua tahadhari binafsi sasa mlitaka asemaje ndo muone amelichukulia serious jambo hilo?

Jino bovu haliwezi kuwa dawa ya pengo hata siku moja hivyo Lockdown na chanjo siyo tija hata kidogo juu ya corona (maana najua ndo mnachotaka)
 
"a vaccination for AIDS would have been found, a vaccination for tuberculosis could have eliminated it by now; a Malaria vaccine would have been found; a vaccination for cancer would have been found by now,”

This statement forces me to appreciate my president due to the factor that, whites have determined that the disease is largely affecting their life compared to africans that is why they are working hard for vaccine. while HIV and malaria affects a large number of Africans whites have shown no measures to introduce their vaccine so as to contain these diseases,so let them carry their cross

What has been spoken by hon.Magufuli is the bitter truth which isn't good to white men.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Pointi,ila ungeandika kwa kiswahili
 
Naweka WHO document ambayo inaonyesha juhudi za wazungu, "adui zako"/adui zetu idadi ya chanjo za covid-19 ambazo ziko katika hatua mbali mbali za development.
Kweli makampuni yote haya yananuia kutengeneza vaccine kuwaua waafrika? Common sense and logic kweli watanzania inatuongoza hivyo tukuamini kauli zako?
 

Attachments

  • VID-20210128-WA0009.mp4
    4.8 MB
Tufakari hii kwanza afu nitarudi
JamiiForums301560517.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reasoning ipi wakati science ni purely objective haihitaji siasa..... Wao wamefanya pre test na ikaonekana effective kwa subjects wao sasa anakuja mbongo mmoja ambaye hapo ulipo unatembea na chanjo za surua ulizopigwa ukiwa mdogo kutoka kwa hao hao mabeberu afu unajifanya kudiscredit kwa kutoa maneno matupu?

Theories zote duniani zimepingwa kwa tafiti sio kelele..... Kma hizo vaccine ziko ineffective basi toa paper yako kuprove hilo maana haiwezekani ww peke ako uwe sahihi ilihali epidemiologist walio certified wamepitisha hizo vaccine alafu ww usiye hta na diploma ya veterinary medicine unakosoa kwa mere hear say.

I hear intelligence justice!! My foot
Hebu tuwekee hapa hiyo 'scientific research' na ikathibitika kuwa ni credible, objective and reliable to be practised ili kila mmoja ajisomee ambayo imesheni ushuhuda kwa waliochanjwa wakajichanganya na waathirika lakini hawakuathirika ili tukuamini na hicho unakipigia chapuo huku ukibagaza viongozi wako.

Umeongelea kuhusu chanjo za surua, polio, nk kwamba kwanini hakuna alipinga kupata chanjo hizo? Swali , je kipindi hicho mazingira ya chanjo hizo yalipata changamoto kama za korona? Korona is na man made disease from one of the dignified laboratory experts....wewe huelewi unaimba kama chiriku sijui umelipwa kiasi gani kushadadia. Peleka familia yako yote , jamaa na rafiki zako washawishi mpate hiyo chanjo na upate ruhusu ya kwenda popote, kuuza chochote mahali popote nk

You are fighting against your own loin and 'Black Wooven Bear' who is to lose?
 
we Tanzanian understand our president Magufuli, he really loves his citizens, the purported vaccine of COVID19 from other countries should not be used or rather tested in Tanzania, we shall make our own vaccine in the meantime let's continue to protect by using our traditional ways.
 

Tanzania president raises doubts over COVID vaccines​

President John Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are ‘dangerous’.

---
Tanzanian President John Magufuli has claimed that vaccinations against COVID-19 are dangerous and instead urged Tanzanians to protect themselves from the deadly disease by using domestic measures including steam inhalation.

Magufuli has long downplayed the seriousness of COVID-19, which has killed more than 2.1 million people worldwide. He has previously questioned the efficacy of imported COVID tests and urged people to pray to protect themselves from the coronavirus.

The president has resisted imposing strict lockdowns to contain the virus and his government has faced criticism over its secrecy regarding the outbreak in the East African nation, which has not published official COVID-19 statistics for more than six months.

“Vaccinations are dangerous. If white people were able to come up with vaccinations, a vaccination for AIDS would have been found, a vaccination for tuberculosis could have eliminated it by now; a Malaria vaccine would have been found; a vaccination for cancer would have been found by now,” Magufuli said in a speech on Wednesday in his hometown of Chato, northwest Tanzania.
He also urged the health ministry to be cautious with vaccines developed abroad.

The president offered no evidence to support his doubts about the safety of vaccinations, which are being administered across more than 50 countries, according to Our World in Data, after securing regulatory approval.

Magufuli’s warning comes a day after the Tanzania Catholic Church issued an alert over a surge in suspected COVID-19 infections in the country. In a letter addressed to church leaders, the president of the episcopal conference (TEC) warned of a possible new wave of infections.

The TEC Secretary Father Charles Kitima told the media that the Catholic Church had noticed an unusually sharp increase in the number of funeral services being held. He said that usually, there would be one or two requiem masses per week in urban parishes, but that now they were conducting the masses daily.

Since the apparent resurgence of cases, Magufuli has sent mixed messages to the public, at times urging people to follow expert advice but also mocking those who wear masks to slow the spread of the virus.

Despite anecdotal evidence suggesting a potential resurgence of infections, there are no official figures to indicate how widespread it might be, as the health ministry stopped releasing regular updates on COVID statistics last April.

Tanzania has reported 509 COVID-19 infections and 21 deaths in total, according to World Health Organization data.
Hawa WHO sio wa kuwaamini ndio maana trump aliitoa marekani kwenye huo umoja.hakutaka ujinga ujinga wao
 

Attachments

  • 20210127_225116.jpg
    20210127_225116.jpg
    57 KB · Views: 1
"a vaccination for AIDS would have been found, a vaccination for tuberculosis could have eliminated it by now; a Malaria vaccine would have been found; a vaccination for cancer would have been found by now,”

This statement forces me to appreciate my president due to the factor that, whites have determined that the disease is largely affecting their life compared to africans that is why they are working hard for vaccine. while HIV and malaria affects a large number of Africans whites have shown no measures to introduce their vaccine so as to contain these diseases,so let them carry their cross

What has been spoken by hon.Magufuli is the bitter truth which isn't good to white men.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Bitter truth spoken...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom