#COVID19 Al-Jazeera: President Magufuli claims, without evidence, that vaccines against COVID-19 are dangerous

Rais ashauriwe aache kuropoka. Hivi mtu gani asiye na aibu? Sasa hivi watanzania wote tunaonekana machizi, majuha, mahayawani yasiyojielewa sababu ya upumba.vu wa mtu mmoja
Wakati wa uchaguzi watanzania wote waliungana na huyo mtu mmoja kwenye mitazamo yake kuhusu corona,baada ya uchaguzi kuisha ndio wanaona huyo mtu anawafanya kuonekana watanzani wajinga.
 
Msingi wa hizo data na vinavyoitwa tahadhari dhidi ya corona lengo lake kubwa ni kujaza watu hofu na hivyo kuufanya ugonjwa kuendelea kuwa tishio. Lengo ni kuendelea kustimulate demand ya chanjo kwa njia yoyote ile.

Wanaotaka chanjo wajiorganize waagize chanjo zao maisha yaendelee. Dundur heads wengi wanaotaka chanjo hawajui hata hizo pesa za kununulia hiyo chanjo zitatoka wapi.

Wiki chache tu zijazo hali itatulia kama awali. Wataleta kirusi kipya then with time tutakuwa immune tena. Acha tuendelee kucheza ngoma yetu nao wacheze ya kwao.
Shida ya TZ ujuaji mwingi sana yaani kila mtu ni think tank mpaka tunaingilia professionalism.

Kama unahoji hela ya chanjo inatokea wapi au demand stimulation ya chanjo inapandishwa vp kuhusu UKIMWI ambako mnapewa ARV bure na mabeberu mwaka wa 20 sasa? Kwanini msihoji na huko ikiwezekana muwakatalie? Mbona takwimu za Ukimwi na kifua kikuu, saratani huwa zinawekwaza wazi? Je huwa ni kwa ajili ya kuwatisha ama?

Kingine ni makosa kufikiri eti mtu ameleta Covid 19 ili auze chanjo ilihali multiplier effect ya Covid 19 imeua kabisa Capital markets nyingi hta hizo kampuni zinazozalisha ilibidi zikope au zichangiwe ili zitengeneze vaccine. Sasa haina maana upoteze trillion 100 ili uingize trillion 50!! Hizo hesabu hazi add up.

Mfano tu mpaka sasa marekani ishatoa trillion za madola kma relief fund sasa mauzo ya hizo vaccine yanaweza fidia hta hizo relief fund? Hizi conspirancy theories sio za kuamini amini wakuu. Angalau tufanye tafiti
 
Kuna hoja ya msingi na ya kitaalam juu ya chanjo: ni pale ambapo wanapewa chanjo watu kadhaa, 10% wanakufa immediately, hii ndo hoja ya msingi. Hii ni kielelezo kuwa chanjo haijawa na sifa lengwa, wengine wamesema kuwa baada ya kupewa chanjo walitest +ve kwa HIV, si taarifa njema hizi na haya ndo mambo ya msingi ya kuzungumzia badala ya ;
Wanataka kutupunguza so, so, so
Mimi binafsi nitaamini tu wana taalamu wa haya masuala maana naweza kusema mashaka yangu bila kuwa na chembe cha kutibitisha na haya yote yanaweza kuwa kweli au sio kweli. Point yangu hapa kubwa kama ni kweli je wamedhamiria kuathiri viumbe vyote na hata family zao, maana chanjo wenyewe wanazigombania kwanza mpaka WHO imeshutumu nchi tajiri kufanya order nyingi na kuziacha nchi maskini sababu tu wamechangia gharama za research. Mimi nitaamini wataalamu katika haya sasa kama Rais wetu anasema nia yao mbaya ni vizuri akaweka hadharani reseacrh waliyofanya kuthibitisha kauli zake.
 
Hujui chochote kinachohusu hii pandemic. Pendeni kusoma aisee mana kila kitu kimeshaandikwa ila kimefichwa Na inahitaji hekima ya kidogo kuelewa
Msosmi tusaidie cost za Covid 19 mpaka sasa zinazidiwa na benefits za kuleta pandemic? Kwa taarifa yako mafua ya kawaida tu (influenza) au saratani inaua watu wengi zaidi hata ya Covid 19. Sasa kwanini usiseme mafua mengine ni mpango pia?

Whether imetengenezwa or not as u claim haibadili ukweli kwamba hta ukigomea chanjo watawawekea ban ya kusafiri au kununua products zenu. If it's a master plan nchi maskini kma TZ has nothing to do zaidi ya ku comply unless utupe njia mbadala ni ipi? Chanjo haiwezi kuwa optional kma kweli ni mpango wa mtu so hta mkidinda vp mta surrender tu. Nyerere alijaribu alishindwa ndio sembuse JPM ambaye uchumi wetu unategemea mabeberu zaidi ya 60% (Watalii, madini, FDIs, miundombinu) n.k
 
What evidence can the news report adduce to substatiate the Tanzanian president Dr JP Magufuli spoke without objective evidence.

Where is the proof that after a person is vaccinated against COVID-19 or Y501 V2 or B117 infections when integrates with those infected is protected against the virus transmission?

As much as you keep on mudslinging his excellence Dr JP Magufuli to the international world you are proclaiming and advocating his excellent work he delivers for his peoples welfares. If you think you are defacing him to fuel hatred among its citizens you are lost.

Is the vaccination capable to combat the ever changing behaviour of the viruses as confirmed by the scientists that it has now changed the symptoms and effects caused in the body as such renamed as Y501 V2 or B117?

The head of state has spoken teh majorities favorite and entirely support it with health preacautions practised with consistence. NO one can can survive the plague hit by just muzzling the mouth, distance position maintenance, washing hands, sanitizing, taking body temperature etc without giving the Mighty God his Mercy and Protection to Reign.
 
Basi awe anakwenda kuabudu chini ya miti kwa miungu yake ya Chato badala ya kwenda makanisani ambako yupo Mungu aliyeletwa Tanzania na mabeberu kama wanavyoleta chanjo!
Walau sasa Afrika ina mtu mmoja anayeweza kuwaambia wazungu ukweli!
 
Kwani kuna chanjo ambayo imesha wahi kugunduliwa Tz? Pia serikali yetu inafanya nini ili kupata chanjo isiwe na shaka.
zipo chanjo tatu zilizogunduliwa tanzania: Google, prof Philemon Wambura uone ametengeneza chanjo ngapi na ziko sokoni zinatumika. BTW, utengenezaji wa chanjo ni tech ya kawaida isispokuwa cost inakuwa kubwa kwasababu ya diversity ya kirusi chenyewe.
 
Chanjo ni sumu tamu inayompa mtu matuimaini ya kutokupata maradhi,na wakati mwingine ni mpango kando wa kuwaponya wachache na kuangamiza wengi.
Sio vibaya kutafuta mbinu mbadala ya kujikinga na maradhi huku tukiangalia namna iliyo bora ya utulivu wa kutatua tatizo.
Ni muhimu suala hili likabaki kwa wenye kupewa mamlaka ya kuamua huku sisi wengine tukichukua tahadhali.
 
"a vaccination for AIDS would have been found, a vaccination for tuberculosis could have eliminated it by now; a Malaria vaccine would have been found; a vaccination for cancer would have been found by now,”

This statement forces me to appreciate my president due to the factor that, whites have determined that the disease is largely affecting their life compared to africans that is why they are working hard for vaccine. while HIV and malaria affects a large number of Africans whites have shown no measures to introduce their vaccine so as to contain these diseases,so let them carry their cross

What has been spoken by hon.Magufuli is the bitter truth which isn't good to white men.

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
What is your point?
Gundueni yenu mzafanta, kwani nani kawazuia msigundue chanjobyrnunkama ya babu wa loliondo.

Miafrika hovyo kabisa.
 
Back
Top Bottom