Akubali Mtu Mwingine kum"Kiss" Mpenzi wake kwa Gharama ya Tsh 500,000/=

DR Mambo Jambo

JF-Expert Member
May 10, 2012
8,602
17,747
Katika pita pita zangu huko Kwenye mitandao nikakutana na Hii prank ambayo ikaniacha mdomo wazi..
Kuona Mwanaume mwenzangu akikubali Mpenzi wake au Mchumba kama wanavyoitana apokee upako wa Busu Kwa malipo ya Tsh 500,000/=

Ukiangalia mpkaa mwisho utamkuta ndugu mtangazaji akimshawishi Kumla Busu msichana alsiye wake kwa malipo ya 500k huko akitaka ruhusa kwanza ya mpenzi wake.....
Utashangaa kusikia ruhusa ya mpenzi wake bada ya kutoka...

Angalia video ifuatayo mpaka mwisho

Ungekuwa wewe Mwanaume Mwenzangu ungefanyaje....
 
Huyu dada anajiuza kabisa, af eti "what if my boyfriend akiona" pumbaf,

Af hawa ndo wanawasema wanaojipanga mtaani

Na huyu jamaa anaweza hata kumuuza huyu mdada
 
Huyu dada anajiuza kabisa, af eti "what if my boyfriend akiona" pumbaf,

Af hawa ndo wanawasema wanaojipanga mtaani

Na huyu jamaa anaweza hata kumuuza huyu mdada
Huyo jamaa hashindwi we msikilize anavyolalamika hali ngumu
 
Huyu dada kama ana akili aachane na huyu mwamba,

Apo jamaa kakaa anasubiri laki tano.

Unajua nilikua nashangaa hawa wanaojiuza wanakuaje kwa wapenzi wao, kumbe kuna masela kama hawa
Hahaha mwamba tena anasema kaa pembeni kidogo Mbali na huyo demu 🤣🤣🤣🤣
 
Huyu dada kama ana akili aachane na huyu mwamba,

Apo jamaa kakaa anasubiri laki tano.

Unajua nilikua nashangaa hawa wanaojiuza wanakuaje kwa wapenzi wao, kumbe kuna masela kama hawa
Tena jamaa anaita opportunity 🤣🤣
 
Back
Top Bottom