Kwa hiyo CCM wameweka mtu wao hata kama hafai,tofauti na chaguo la wananchi. Hii ni dharau kwa wananchi...CCM wametuona mazezeta
Kati ya wapiga Kura M29+ Kati ya hao ni 1.5M. Pekee ambao wapinzani watagawana hizo Kura,Kama wewe ni mshabiki wake basi inabidi ukapimwe akili, hauko sawa sawa wewe.
Alete sera za maendeleo aache kutoa hotuba za chuki.